Mungu wenu anawasikia. Atawauliza maswali hayo siku mkifikishwa kwake. Pia mtaulizwa maswali hayo mbele ya Adamu, Eva na Ibilisi ili mdhibitishe kweli hilo ndio tunda lililoliwa??? Au mmezipotosha roha za watu???....
...Pia inabidi muelewe kwamba kule hakuna wakili wa utetezi wala dhamana ya...