Recent content by Jane Lowassa

  1. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Fatigue siyo fatique
  2. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Chid Benz: Sikuwa nahisi chochote, nilikuwa nina sumu mwilini

    Hiyo sumu ndiyo inanenepesha hivyo?
  3. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach

    Itakuwa bodaboda kapata pancha. Laleni wanaume wa Dar
  4. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa mtaani

    Hao mbuzi inashauriwa ukichinja supu yake usiweke chumvi. Hapo albadili haitakufikia
  5. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Mshikaji niliyeajiriwa naye pamoja amenipa hasira sana wakuu

    Unashindwa hata kufungua kituo cha kushauri vijana waache punyeto? Utapiga hela sana
  6. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Viongozi waliokufa vifo tata

    Kifo cha baba nacho
  7. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania JamiiForums inafahamuje ikitokea mwanajukwaa amefariki na kumuwekea RIP?

    Kuna wengine wamewekewa RIP ila tupo nao mtaani
  8. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Chief wa tiss?
  9. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Ni mchekeshaji gani wa Kibongo huwa hakuchekeshi kabisa?

    Mi sicheki na wowote, naulinda wangu moyo
  10. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya mama kukata ghafla

    Amchukulie formula milk
  11. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Hapa JF kuna mtu unaweza mfikiria hivi kumbe huko mtaani kwenye uhalisia ni tofauti sana. Ndio chanzo cha kukimbiana

    Kuna jamaa mmoja anakojoa kitandani, jina tunalihifadhi
  12. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

    Timu mbili zitaungana kucheza na Taifa Stars
  13. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

    Hajaharibu. Amempa sababu ya kujadiliwa.
Back
Top Bottom