Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,009
- 9,206
Itakuwa bodaboda kapata pancha. Laleni wanaume wa Dar
Siyo Abdul huyo kavamiwa na wananchi wenye hasira kali?Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach
Kuna nini au ni baruti?
Magenge ya Abdul wanafanyia majaribio silaha mpya walizoingiza nchini, kontena zima.Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach
Kuna nini au ni baruti?
Mange ndo kasema abdul kaingiza kontena la silaha!?.. maana yule malayya akili hanaMagenge ya Abdul wanafanyia majaribio silaha mpya walizoingiza nchini, kontena zima.
Paaaah paahh pahhhh!!