Ni mwaka gani alimaliza mkuu?Kapola namfahamu kiasi. Na huu ndiyo ukweli.
Kapola amesoma SUA; Bachelor. SUA alisoma Rural Development. Hana Masters yo yote labda kama ni kamba na majigambo yake ya kawaida!.
Mkewe ana Masters ya Jordan University hapo hapo Morogoro. Ni mwalimu by profession. Hana PhD, wala hafanyi PhD na wala hajawahi kufanya PhD.
Kanisa lake lipo chini ya Calvary Assemblies of God kwa Bishop Ryoba by then ndiye alikuwa spiritual father wake. Sasa hivi Calvary ipo chini ya Bishop Makundi. Kapola hata vyeti vya ndoa vya waumini wake anatumia vya Calvary.
View attachment 2677791
Google!Ni mwaka gani alimaliza mkuu?
Kasanga ndipo liliko kanisa lakeKwanini asiende Kalambo, Namanyere, Kasanga, Iguguno au Balangdalalu?
Hii zaidi ya kali 😄Hili la gesi kujaa ndio litafungua watu macho. Like la niffer alichomoka.
Tony aache kumpa mkewe nafasi za kuongea. Huyo manzi kamharibia mno.Hii zaidi ya kali 😄
Alafu ndani hapo watu wanashangilia
Ova
Hajaharibu. Amempa sababu ya kujadiliwa.Tony aache kumpa mkewe nafasi za kuongea. Huyo manzi kamharibia mno.
Kujadiliwa kwa jambo la kipuuzi?Hajaharibu. Amempa sababu ya kujadiliwa.
Now muda umenena🙌Hujui unachokisema.
Binafsi naheshimu sana watumishi wa Mungu lakini ukweli acha usemwe. Wengine hawajasimama katika kweli na wanafanya madhara makubwa sana na huu Ukristo wetu wa kisasa wa kuabudu personality za hawa mitume na manabii badala ya kusimama katika Neno.
Na kwa vile Mungu huwa hadhihakiwi, subiri anguko lake litakapofika ndiyo utaelewa. Kwa sasa kama unasali kwake au unamwona tu kwenye TV huwezi kuelewa. Tunza hii comment na tuombe tuwe wazima.
Pray for him, if you can!
View attachment 2678117
Hatimaye Tony ka-prove niliyoandika. Kama huna hela hataki hata ushauriTony yuko vizuri ila niliamua kumpuuza baada ya kuona anapenda KISWANGLISH. Mahubiri yake ni kwa wenye hela na wasomi. Nimemweka kundi moja na kina Masanja. Pia kujiunga na tapeli wa Zimbabwe inapoteza imani kabisa. Haiwezekani uwe unapiga madili yaliyokaa kimafia halafu hapohapo uwe mchungaji.