Recent content by Jane Koku

  1. J

    Ni kwanini sisi wanaume tupo tayari kumlea watoto wasio wetu lakini sio wakina dada?

    Kila mzazi alee mtoto wake, Labda kwa wale waliofariki. Wanaume wangapi wanakubali kuoa wanawake wenye watoto? Jaribu kufanya utafiti uone idadi ya wanawake wanaoishi na wanaume wenye watoto? Jiulize ni wanaume wangapi wanazaa nje ya ndoa na wanaleta watoto nyumbani kwa kisingizio cha shetani...
  2. J

    Wanawake hebu tujitahidi sasa kujishusha kwa wanaume wetu Ili kunusuru hali

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mvue viatuuuuu! Mpokee gazetiiii! Labda mama wa nyumbani, ambao siku hizi hawapo wako kwenye ujasiliamali. Mtaala wa kitchen party Inabidi ubadilishwe ill uendane na wakati !
  3. J

    Nimedukua Mawasiliano ya Mke wangu- Weka Mbali na watoto!

    Tamaduni zetu ni tofauti sana, ukioa mzungu ukifikiri atakuwa kama mwafrika umeliwa. Mfumo dume uko Africa tu, anayetaka kuuendeleza aoe mwafrika.
  4. J

    Hivi ndugu ama mdogo wako huwa unampa shilingi ngapi ya matumizi chuoni?

    Tajirimsomi ! Kwa mchango huu wa mawazo lazima unamuuza binti yako! Subiri madhara yake!
  5. J

    Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

    Sijawahi kutetea uovu!! Unatafuta kisingizio cha kuhalalisha mchepuko!!!! Endelea kuchunwa kwa kwa kisingizio cha kukumbushwa saa ya kula . Wewe uliwahi kumkumbusha mkeo saa ya kula? Je, huyo mkeo hana kazi nyingine anayoifanya zaidi ya kukufikiria wewe?
  6. J

    Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

    Endelea na uzinzi wako! Msg mbili za nini kwa mume mwenye mapenzi na mkewe??? Alikupotezea maana wee ndio umeanza kuvunja agano!!!
  7. J

    Kwa walio katika ndoa, upi ni uchepukaji salama zaidi?

    Sema wewe unacheat sio kuwasemea watu wengine. Huku duniani hakuna suala la wote labda kifo.
  8. J

    Wanawake wasiokuwa na magari ni wachafu

    Wakusoma lazima awe Muhaya ? Naudhika sana kwa wale wanaoshambulia wahaya! Ebu kuweni wasitaarabu, shambulienj mkosaji sio kushambulia kabila.
  9. J

    Ushauri: Mtoto wa kuasili anahitajika haraka

    Chukua miaka 3, wa ndg yako hatakuwa wako atarudi kwao.
  10. J

    Kila siku visingizio ni kazi

    Wewe sio mke wa ndoa! Unadaije unanyimwa haki ya ndoa? Hakupendi huyo unamlazimisha! Mwanamwali mwerevu huangalia mbele ya kizingiti. Tafakari chukua hatua
  11. J

    Mimi sina Dini, Nitapata Mke Mwenye itokadi kama yangu?

    Utampata muongo anayetafuta ndoa! Watu wengi siku hizi wa naamini uwepo wa mungu !
  12. J

    Kama amenichoka aniambie niende kwetu

    Shida ipo ! Ya kutowekwa mtandaoni sio tatizo. Tatizo ni kuficha uwepo wa familia yake! Hii anaifanya kwa sababu anachepuka. Talaka inaruhusiwa kwa sababu ya uzinzi hivyo unaweza dai talaka.
  13. J

    Mhitimu wa degree ya sheria auza mihogo baada ya kukosa ajira

    Hongera sana Neema! Kujituma kutakukomboa!
Back
Top Bottom