Nimedukua Mawasiliano ya Mke wangu- Weka Mbali na watoto!

Ulivyoandika aisee kama ulishuhudia. It all started with her na hata kuja huku niligoma ila ikawa ugomvi ikabidi nije maana haikuwa kazi ndogo!
In fact nimefanya kazi na hao watu kwa karibu sana na kwa miaka mingi hivyo nawajua sana tabia zao. Marafiki zangu wote waliooa "wazungu" waliishia kujuta baadaye.
 
Habarini za mihangaiko!

Mimi nimeoa yapata miaka 7 iliyopita na tumebarikiwa na mtoto mmoja mpaka sasa.

Mahusiano yetu hayajawa na utelezi japo natambua ni kawaida kuwa na milima na mabonde Ila kuna kiasi. Mimi nimeoa Unyamani-Uzunguni kwa maana hiyo. Toka tunaanza mahusiano wakati huo, mpenzi wangu amekuwa akibadilika taratibu mpaka leo hii hali siyo nzuri kwa kweli.

Mara ya kwanza kuna siku tulitoka out usiku tukaenda kiwanja kimoja kipo karibu na Ubalozi wa Uganda Oysterbay ndo vurugu zilipoanzia. Mimi sinywi pombe, sinywi wine, sivuti aigara kwa kivupi, situmii kilevi chochote kile na haya ni maamuzi yangu lakini pia yanachangiwa na familia yangu. Mzee wangu ni mtumishi wa Mungu (Askofu) so nimelelewa kwenye Biblia zaidi.

Pamoja na msimamo wangu huo, sina shida kabisa mpenzi wangu au mke kupiga gambe kama anaweza kuicontrol ili isiniathiri kwa maana ya kuzaa mengine katika mahusinao. Sasa siku hiyo tupo Mimi, mpenzi wangu na mgeni wetu alikuja kututembelea ndo nilikuwa dereva coz wao watoe wanapiga gambe.

Muda ulivyoenda niligundua mpenzi ameanza kulewa na kule kucheza na mambo mengine niaona tuondoke. Kama dereva nilimsihi mara kadhaa akagoma, nilichokifanya nilimuomba mgeni tuondoke na kweli tuliondoka tukapitia Kona Bar kununua nyama pale moto mpaka home. Tulikuwa tunaishi karibu na Whitesands hotel.

Ile nafika getini nasubiri mlizi anifungulie mpenzi wangu naye akawa amefika na Taxi Ila alipandisha mzuka balaa akaanza kunifokea mara huyo kanirukia, nilichezea vitasa vya hapa na pale matusi nini mbele ya mgeni wangu na mlinzi Ila sikufanya chochote zaidi ya kumdhibiti alafu nikambeba tukaingia ndani tena nikampandisha ghorofani kwa kumbeba.

Kesho yake nikamkalisha kwa maongezi yenye akili sana Ila nikamalizia kwa kusema yeye ndiye aliyeleta ugomvi wa kupigana kwenye mahusiano yeto so asije akalalamika ikitokea huko mbele ya safari. Ni kweli baada ya hapo amewhi tena kuninasa vibao vya hapa na pale na mimi sikumbania kila ilipobidi nilimkumbusha kwa vitasa.

Ishu ya leo iko hivi, baada ya kuingia kwenye ndoa, mke wangu alibadilika japo siyo sana but tumekuwa na ugomvi ambao anauanzisha yeye, siyo mke mwenye kusema anaweza kuongea na wewe kwa heshima. Ni mtu wa kufoka, kutukana na hakuna sekunde unaweza kusema sasa tuna enjoy maisha. Kuna wakati hata kwenye kugegedana katikati anaweza kuanzisha varangati.

Nikawa nimechoka nikapata mchepuka so stress zikiwa nyingi nipo town na mtoto wa kibongo maisha yakawa yanasonga. Ila kwa sasa ni muda tumehamia Unyamwezini long time kidogo ndo kabisaaaaaaaa mambo yameharibika mpaka yeye mwenyewe akaanza kwenda kwa washauri wa ndoa baadae akanishawishi tukawa tunaenda wote.

Juzi kati nilirudi bongo likizo kidogo nikaruka majoka nini basi ilimradi burudani. Ila kwa kipindi kirefu mwenzangu anahubiri divorce mimi nakataa kabisa.

Siku moja tumekaa mezani akanipa simu yake nimrekebishie kitu nikazama mpaka kwenye WhatsApp, loh! Nikakuta kuna njemba anawasiliana naye mambo ya mapenzi duh! Ila sikuonyesha kushtuka nikamwambia tu kwa kucheka "aisee kumbe na wa kuchukua nafasi yangu ushampata?" Nikatumia akili ndefu sana kumuondoa wasi wasi baadae alifunguka hasa akaniambia kila kitu kuhusu jamaa maana nilimuambia naona ni muda wa divorce so akafurahi kwamba atakuwa na huyo njemba.

Nilikuja kugeuza kibao pale alipoanza sasa kufanya kama anataka kuharakisha hiyo divorce kwasababu ni kweli hapa nipo tayari Ila kuna mambo naweka sawa so sikutaka hiyo haraka alafu nilitaka nimsogeze dogo (mtoto) angalau afiikishe umri fulani so nikampiga biti baadae yule jamaa ilibidi amuandikie stop notice coz walikutana kwenye dating websites which nilikuja kugundua alijiunga since last year.

Hapo nikaanza kutafuta namna ya kunusa anachokifanya ndipo nilipoamua kudukua mawasiliano yake ya WhatsApp mpaka leo kila kitu ninacho kiganjani yapata miezi miwili ila sijawahi kuonyesha hata dalili kwamba ninajuwa chochote.

Hatua nyingie huyu bibie akafungua tena email address kama tatu tofauti tena za umafia wake sasa ambacho hakijui ni kwamba najua patern yake ya kufungua simu so huwa anaweza kuacha simu home akaenda zake kidume nikapata nafasi ya kumnusa zaidi Ila dalili sionyeshi.

Katika kunusa huko nikaingia kwenye email moja nikakuta mawasiliano yake na wanaume kama watatu hivi nikapiga screenshots za kumwaga nikatumia WhatsApp yake kujitumia then nikazifuta kwenye chat na kwenye galary so ushahidi ninao mimi japo napanga kuingia tena kwenye email yake nifanye settings kwamba kila email ije kwangu kwa bcc (Black Carbon Copy) ili niya nyake mubashara mawasiliano yake ya email.

Ifahamike kwamba natambua tunaachana ila wazee hawanielewi na siwaambii madhaifu ya mke wangu coz naamini katika kumlindia heshima pamoja na matatizo meeengi mfano Leo ni mwaka wa tatu najipikia mke hanipikii kwasababu amekataa. Huu ushahidi ntatumia kwa faida yangu.

Muda si mrefu ntarejea bongo nikajitafutie mke atakayenifaaa.

Wewe ungefanyanje?
Inawezekana hata huyo mtoto nae wa njemba:rolleyes::rolleyes:
 
Kimbia haraka sana. Hapo sio
 
Hakuna ndoa hapo, hakuna jambo baya katika ndoa kama mke au mume kutoka nje ya ndoa yao, mengine yanaweza kuongeleka ilo kubwa ni gumu sana hata kusahau. Pole sana mdau
 
Sio kwa kuvumilia hivyo mkuu. Mimi siku ileile ya getini tu kesho yake divorce. Sasa ww mwaka wa tatu unajipikia!! .
 
Pole sana bwana Dala, kusanya ushahidi wa kutosha maana muda ukifika atajidai yy siyo chanzo.... Jifanye mjinga kwa kumuuliza kwann anataka talaka????
 
Nami naomba kujua namna ya kudukua mawasiliano, nipe huo utaalam inawezekana hata Mimi nadanganywa
 
Tamaduni zetu ni tofauti sana, ukioa mzungu ukifikiri atakuwa kama mwafrika umeliwa. Mfumo dume uko Africa tu, anayetaka kuuendeleza aoe mwafrika.
 
tabu yote hiyo ya kuvizia simu na maemail ya nini...kuna wanaume mazero kabisa. piga chini huyo malaya. wazungu hawanga Mungu na umalaya ni desturi yao. dhamiri zao zilishakufa
 
Hakuna ndoa hapo, hakuna jambo baya katika ndoa kama mke au mume kutoka nje ya ndoa yao, mengine yanaweza kuongeleka ilo kubwa ni gumu sana hata kusahau. Pole sana mdau

Ni kweli mkuu
 
tabu yote hiyo ya kuvizia simu na maemail ya nini...kuna wanaume mazero kabisa. piga chini huyo malaya. wazungu hawanga Mungu na umalaya ni desturi yao. dhamiri zao zilishakufa

Haya siyo binadamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom