Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha mkuu usimkatishe tamaa mwenzioNdoa tuachane nazo Mkuu. Nakushauri ukishamuacha huyo mzungu usioe tena. Maana unayotendewa na huyo mke wa kizungu (binadamu mstaarabu) ni robo tu ya wanayotenda wanawake wa kiafrika kwa waume zao. Utakufa kwa mstuko ukiyajua madhila ya mke wa kiafrika.
Hahahaa. Humu jf anapoomba ushauri inabidi awe mbayuwayu, achanganye na zake.Hahahaha mkuu usimkatishe tamaa mwenzio
Make an informed decision. Ukishakubaliana na hali, unakuwa kama unamsanifu anachofanya kwani unakuwa unakijua hali akidhani hujui. In fact, inakuwa exciting. Kesho unajiuliza ntaona ninitabu yote hiyo ya kuvizia simu na maemail ya nini...kuna wanaume mazero kabisa. piga chini huyo malaya. wazungu hawanga Mungu na umalaya ni desturi yao. dhamiri zao zilishakufa
Make an informed decision. Ukishakubaliana na hali, unakuwa kama unamsanifu anachofanya kwani unakuwa unakijua hali akidhani hujui. In fact, inakuwa exciting. Kesho unajiuliza ntaona nini
Umenikumbusha miaka kadhaa nyuma Nilikuwa Internet cafe, akaingia kijana na mpenzi wake mzungu kujaza visa. Ilikiwa kichekesho manake hata hawaelewani.Ishu ya leo iko hivi, baada ya kuingia kwenye ndoa, mke wangu alibadilika japo siyo sana but tumekuwa na ugomvi ambao anauanzisha yeye, siyo mke mwenye kusema anaweza kuongea na wewe kwa heshima. Ni mtu wa kufoka, kutukana na hakuna sekunde unaweza kusema sasa tuna enjoy maisha. Kuna wakati hata kwenye kugegedana katikati anaweza kuanzisha varangati.
Ila kwa sasa ni muda tumehamia Unyamwezini long time kidogo ndo kabisaaaaaaaa mambo yameharibika mpaka yeye mwenyewe akaanza kwenda kwa washauri wa ndoa baadae akanishawishi tukawa tunaenda wote.
Umenikumbusha miaka kadhaa nyuma Nilikuwa Internet cafe, akaingia kijana na mpenzi wake mzungu kujaza visa. Ilikiwa kichekesho manake hata hawaelewani.
Jamaa anafanya kufwata maelekezo tu. Ikafika point Kukawa na kikwazo kwenye form huyo dada anasema Oohh, akimuelezea Jamaa haelewi, mdada akakasirika akamkaripia "DON'T YOU UNDERSTAND". Hadi aibu.
So nawaza tu, huyo mwanamke hata lugha mnaelewana? Usikute unamsema bure kuwa ni mgomvi Hana heshima kumbe kachoka na kutoelewa Kwako.
Unasema hadi kwenye kegegedana anaanzisha, huwa unamsikiliza shida zake na kuzi solve? Unless ana matatizo ya akili hawezi kuwa mkorofi from nowhere.
Miscommunication is a big problem in relationships.
Umesema na wewe ulialikwa kwa washauri lakini hujagusia kabisa walikusaidiaje na jitihada ulizochukua kutengeneza mahusiano yenu!