Kila siku visingizio ni kazi

Kila siku visingizio ni kazi

Mchumba wako....[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mnaishi pamoja...[emoji15] [emoji15]
Una ujauzito...[emoji134] [emoji134]
Alafu unakuja kuomba ushauri, eti unanyimwa haki yako ya ndoa...[emoji23] [emoji23] [emoji23].
Anyway......
Ulikua msichana, sasa umekua mwanamke tayari.
Huo ndio ukubwa na ukomavu kwenye mahusiano.
 
Utoto kazi sana kukimbilia mambo ambayo yapo juuuu ya uwezo wenu ndo hatma yk hyo...na umri huo kuwa single mom ni hataree wakubwa wakiwaambia kila kitu kina muda wake muwe mnawaskiliza siyo kuvamiavamia tuuu...second time utajifunza nadhani utakuwa ushakuwa..pole yako
 
Kma ni mrangi?, anaomba ushauri sio ukabila tena apa.
 
Hiyo ni hali ya Kawaida among couple during the pregnancy.. Ndo Maana Wengine huwarudsha wake zao Nyumbani mpaka watakapojifungua..
Kukosa hamu na mwenzio ni Jambo ambalo huweza akawa mke au mume.. Na wakati mwingine mmoja wenu anaweza akawa ana hamu na tendo hilo kupitliza..
Cha msingi vumilia tu.. Focus kupumzisha akili na kujitahidi kutokuwaza sana kwa ajili ya mtoto aliyetumboni
 
Halafu uachege uongo alikuacha na mimba ya miezi saba leo umeenda songwe una miezi minne jumla kumi na moja duh
 
Wewe sio mke wa ndoa! Unadaije unanyimwa haki ya ndoa? Hakupendi huyo unamlazimisha! Mwanamwali mwerevu huangalia mbele ya kizingiti. Tafakari chukua hatua
 
Wewe sio mke wa ndoa! Unadaije unanyimwa haki ya ndoa? Hakupendi huyo unamlazimisha! Mwanamwali mwerevu huangalia mbele ya kizingiti. Tafakari chukua hatua
Saizi nina mimba ya miezi 7,rudia posti Jane koku
 
Ndugu zangu wa forum naombeni ushauri,mimi ni binti wa miaka 21, niko kwenye mahusiano na mwanaume ambaye ni mchumba wangu bado ajanioa lakini tunaishi pamoja ni miaka 2 sasa na tunafanya kazi idara moja, na ninavyo ongea nina mimba yake ya miezi 7, kwa bahati nzuri au mbaya huyu mwanaume alipata uhamisho kutoka mkoa wa Singida akaamishiwa mkoani mbeya, na mimi kuniacha Singida tangu ameondoka kwenda mbeya mawasiliano yetu yamekuwa ya shida sana, ukiachana na hilo amekuwa ni mtu anaeonekana ataki mawasiliano na mimi ila anajilazimisha.

Anakuwa mkali kama simba ukimpigia simu bila kuwa na sababu za msingi, baada ya miezi kadhaa na mimi nikapata uhamisho kuamia mkoa wa jirani na yeye yaani Mkoani Songwe,ambapo nina uwezo wa kwenda na kurudi kutoka yeye alipo mpaka kwangu, lakini tangu nimefika kwake tunalala wote usiku bila hata kusex mpaka asubuhi na akiondoka hiyo asubuhi anarudi usiku saa 5, yaani ajui mimi nimeshindaje ?

Na ukizingatia hali niliyo nayo ya ujauzito napata shida sana, ananiambia mazingira ya kazi ya mkoa tuliokuepo na huo ni tofauti kwahiyo muda mwingi amechoka, tangu nimetoka singida mpaka mbeya ni miezi 4 sasa hatujawahi kusex Ingawa tunalala kitanda kimoja na ukimlazimisha anakwambia mwanamke gani unawaza mapenzi mida wote!

Na anadai nampa wasiwasi kwa kitendo cha mimi kumtaka kimapenzi ikafikia stage ananiita mimi malaya na wakati nimemtunzia penzi lake tangu amehama huo mkoa mpaka tumeonana, Je ndugu zangu ni kweli napendwa au nalazimisha penzi? Na je huyu mwanaume ana mapenzi ya dhati na mimi mpaka ananinyanyasa kihisia wakati nina mimba yake

NB:kuhusu matumizi na pesa kila ninacbotaka ananipa lakini ananinyima haki ya mimi kusema kweli nipo kwenye ndoa yenye furaha nisaidieni maana sijui cha kufanya!
Miaka 21 unaishi na mtu kindoa halaf haja kuoa ni miaka miwili maana yake umeanza kuisha naye ukiwa na miaka 19 dah
 
Bad boy kapata good girl huenda pia ukipata good boy utamuona wa nini!!! Tubu kwa uzinzi huo pia omba BWANA akupe mme mwema wa kukuoa atakayekupenda hivyo ulivyo mara tu utakapojifungua mtoto,
 
Ni mchumba wako mpo kwenye mahusiano alafu unasema tena upo kwenye ndoa hii inawezekana vip?
 
unaumia lakini focus na malezi ya mtoto anayekuja kwanza mengine yaacha kama yalivyo yataenda tu
 
Miaka 21,

kumbe ndiyo mana mkifikisha 30kuendelea hamna hamu na mapenzi hata kama mkiwa mmeolewa,

"Sijuh huwa mnaharakia nini ila pole"
 
Halafu uachege uongo alikuacha na mimba ya miezi saba leo umeenda songwe una miezi minne jumla kumi na moja duh
Wazee wa between the lines...

AkA kijukuu Cha Bibi Faiza fox
 
Back
Top Bottom