Jamani mimi habari nazopata zinanitatiza kwa kweli, watu wa NSSF Geita na PPF Mwanza wametoa taarifa kwa umma kwamba hizo habari ni za uzushi, ila taarifa zingine zinasema hizo ni habari za kweli. Tena kwa habari nilizopata ni kwamba NSSF Geita na NSSF Mkoa mwingine jina ninalo nitalitoa mpaka...
naungana na wewe kwa asilimia zote - jamani mmesahau hata watu wa uhamiaji wanakula sana rushwa wanatoa vibari feki kila kukicha wanaingiza watu ambao sio sahahihi kuchukua nafasi za watu ambao ni sahihi wakitanzania
hawa nao wanauza sana nchi hii
Mr Mak, pole kwa kuchelewa kupata majibu ya swala lako. Lakini naamini kuchelewa huku hakujaadhiri haki yako ya msingi yakikatiba ya kupata habari, ni kwa vile watu wapo busy hawakupitia kwenye ukurasa huu.
Ni kwamba ulichosikia ni kitu kinaitwa Severance Pay (Kiinua Mgongo) ambacho kwa mujibu...
Jaslaws, mm ktk mada yako nina haya yakuchangia ktk kujibu maswali yako;-
je wabunge wakipiga kula ya vote of no confindence kwa raisi bunge linavunjwa? - Hapana bunge halitovunjwa, sababu ili bunge livunjwe Katiba imetoa ni wakati gani Rais anaweza kulivunja Bunge kwa mujibu wa sheria ambayo...
Mh King Advisor nakubaliana na wewe kwa upande mmoja na upande mwingine sikubaliani na wewe. Kama nimemuelewa Mnyatu ni kwamba hiyo 3 million ni shoti kwa maana ni pesa iliyopotea kwa bahati mbaya akimaanisha hajaichukua yeye kwa maana yakujitwalia ili anufaike. Halafu pia inaonekana kwenye...
Thanks a million ndugu yangu, Section 24 ya PSA 2002 nimeiona na nimejiridhisha nashukuru sana, ila sababu yakuuliza ilikuwa ni kupata kujua kuhusu NUSU MSHAHARA ambapo nimeona kuwa kumbe imewekwa kwenye Kanuni ya 34 (4) ya Regulation ambayo nakili bado sijaipata. Naomba sana ukiipata soft copy...
Hello JamboJema nimeshakutumia kwenye email yako, jamani naombeni minisaidie Kipengele (Section) kwenye The Public Service Act ambavyo vinakinzana na Employment and Labour Relation Act kama ambavyo ilielezwa na wenzetu hapo chini. Binafsi nataka nifanyie kazi zeni tutapeana taarifa kamili.
Jamani hii kitu nimeisikia sana katika makampuni mengi yenye makaburi, hapa napata picha aliyosema Nyerere kuwa makaburu si watu. Mimi sijawahi kubahatika kufanya kazi na kaburi, nimefanya sana na wahindi, na sasa nafanya na wachina ingawa mwajiri wangu sio wao ni serikali. Ila ni project ambayo...
You make good point, I do concur with you. Lakini naona as long tumeona kuwa kuna sheria mbili ambazo zinakinzani nazani tukiwa kama watu ambao tunapenda haki basi ni bora kuliweka hili wazi ili mabadiliko yaweze kufanyika.
Kitu ambacho nilikua naomba nisaidiwe ni Kifungu (Section) ipi kwenye...
Activista safi sana, nimelipenda sana jibu lako kwa huyu ndugu yetu. Ukweli awali nilipoliona swali la mwenzetu nilikwazika sana sababu nililiona sio swali la msingi. Ingawa pia ni haki ya mtu kuomba ushauri au kuuliza. Kitu kilichonikwaza ni kwamba nilihisi Elimu ya Tanzania sasa imeshafikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.