Taja Orodha ya Askari Police wala Rushwa na vituo vyao tusafishe jeshi letu

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Katika Jeshi la Police kuna idadi ya police wenye maadili ya kazi na wana heshima zao kwenye nyazifa zao, lakini humo humo kuna wengi wao ni wabaya zaidi na huwa wanausika sana kwenye dili mbaya hata kukwepesha watuhumiwa, police hawa wanamtandao wao, wengine wanatumia pikipiki , wengine magari yaliyokamatwa kwenye kesi mbali mbali.
Hali hii ipo sana Police Central na Oyseterbay, polce hawa ubambika kesi, hufanya mateso mbali mbali , ili mradi tu baada ya mateso a kubambikwa kesi wao hutoa mwanya wa rushwa kubwa, Ma-CID hawa ukuwekandani mara kwa mara wakisubiri ndugu wenye uchungu kuja kukuzamini, hapo ndio utaona maajabu, police hawa ubagaini rushwa wazi wazi bila kifichowala haibu, utasikia kesi ya huyu ni mbaya sana, kapatkana na mafuta ya Transforma, au Heroin, Bastola, ndugu watababaika maana wewe huko ndani nao wanataharuki ya kukuona, kumbe ni kesi ndogo za kupeana hela za kumalizikia hata kwa katibu kata.

Rushwa yao sasa inategemea mnadaiyana sh. ngapi, kama millioni itakutoka laki, na yule mdai laki, kuna poice pale central anaondoka na laki tatu kwa siku mpaka nne. Yeye dili zake ni kufungua kesi nyingi sana zinazoishia kwenye kabati lake, hukikomaa kuendelea mbele hukupa kesi ya bastola na kukuhamisha usiku mpaka kule uwanja wa ndege kwa mateso zaidi, police huyu huwa anamasifa sana, watu wengi wameshalalamika lakini wapi, hata wakuu wake hawaonyeshi kujali malalamiko. Police huyu Afande Christopher Mkulya , ni mwingi wa dhuluma, mpenda masifa,kama vile kuchukua wake za watu, hata wale wa marafiki zake, huonyesha silaha yake hawapo baa, mzikiau club mbali mbali, kwenye dawati lake kuna mali nyingi za dhuluma ambazo hazina maelezo au maandishi, ukiogopa kufuatilia kama ni simu au saa huwaonga mabinti.

Orodha ya Kwanza.
1. Christoper kabila Mkulya .........Cental Police
 
Wacha majungu yako,kakunyang'anya demu nini?wewe andika orodha ya mafisadi wanaodidimiza nchi,acha visa binafsi,muacha mkurya afanye kazi yake,police akipendwa sana na wanachi basi ana kasoro kiutendaji,polisi anayefanya kazi yake barabara daim,a hapendwi hasa na wezi,wauza madawa na wahalifu wote kwa ujumla,vivyohivyo kwa traffic,yule anayekataa hongo na kuandika notification kwa kwenda mbele hapendwi na madreva na hawezi kudumu kwani matajiri wenye magari watapitisha mchango na utaona kaondolewa kikosini.Afande Mkurya fanya kazi yako,usiogope lawama,kama ni za kweli kwanini asipeleke kunakohusika?
 
Jamani waache waongezee posho, maana mshahara ni kidogo na karibu waanze kulipa bill za TANESCO.
 
Binafsi sipend polis walaumiwe ni mishahara midogo na mazingira yao ya kazi na hata serikali haiwezi kuwapa au kuwaongezea mshahara wako wengi mno na hivyo watasababisha budget kushek. Hata hivyo Polis waataarabu wasiopokea rushwa wapo wengi sana
 
polis wote wanoitwa "tigo" hawa wanapewa pikpik na wakubwa jioni warudishe hesabu, nchi hi ni dhulma tu waliyonayo polis hawa siku moja walinisimamisha natoka airpot na mzigo umelipiwa kila kitu, wanataka rushwa. naomba msaada wa sheria hapa.
 
jina maarufu anaitwa MAKOTIKOTI(KIBONGE) alikuwa osterbay kwa sasa yupo POLISI KIJITONYAMA
 
MAKOTIKOTI(KIBONGE) na Christofer wa Police Central anatisha, kwa ajili ya rushwa hii kila siku anabadilisha demu mpya, tabia yake ya kutoa bastola nje ovyo hovyo ili aeshimike bado anayo.
 
MAKOTIKOTI(KIBONGE) na
Christofer wa Police Central anatisha, kwa ajili ya rushwa hii kila
siku anabadilisha demu mpya, tabia yake ya kutoa bastola nje ovyo hovyo
ili aeshimike bado anayo.

amesharipotiwa kwenye mamlaka?
 
trafic polisi wale wanakaa kwenye junction ya KIJITONYAMA, wale jamaa wanafanyaga mradi kabisa, wanakua kundi gari yako ikipita bila kusimamishwa una bahati sana!
 
polisi wa kirwa road wapo poa tatizo wale wa chang'ombe. pale huwezi jua wapi pa kureport mambo ya rushwa. kila mtu anataka hela.
Wale wa usalama magomeni ndo soo, kama huna hela kuhudumiwa ni ndoto, wale wa kawe wana dharau sana. ukienda una shida hata salamu hawakujibu kama huna hela.
But wale wa mabatini kinyama sasa hivi wametulia.
africana inabidi kuwe na kituo cha polisi sababu wale wanaotoka kawe wanatafuta hela tu sio huduma.
difender yao yanasanya tu hata ukipata ajali wanadai hela.duh!
 
Wacha majungu yako,kakunyang'anya demu nini?wewe andika orodha ya mafisadi wanaodidimiza nchi,acha visa binafsi,muacha mkurya afanye kazi yake,police akipendwa sana na wanachi basi ana kasoro kiutendaji,polisi anayefanya kazi yake barabara daim,a hapendwi hasa na wezi,wauza madawa na wahalifu wote kwa ujumla,vivyohivyo kwa traffic,yule anayekataa hongo na kuandika notification kwa kwenda mbele hapendwi na madreva na hawezi kudumu kwani matajiri wenye magari watapitisha mchango na utaona kaondolewa kikosini.Afande Mkurya fanya kazi yako,usiogope lawama,kama ni za kweli kwanini asipeleke kunakohusika?


Kuna kundi la polisi wako attached kwenye kampuni ya TTCL kufuatilia wezi wa nyaya,na miundombinu mingine ya TTCL. Walianza vizuri, lakn kule kutowabadilisha kumewafanya wala rushwa wakubwa. Wanapokamata watuhumiwa huwatoa kwa ngawira tu. Kwenye kundi hilo hakuna asiyekuwa mlarushwa.
 
Jamani waache waongezee posho, maana mshahara ni kidogo na karibu waanze kulipa bill za TANESCO.

Mkuu haya mawazo ndiyo ndiyo yameiua nchi. Nchi zilizoendelea ukiomba rushwa au kupokea na watu wakijua unakuwa kama vile umejisaidia hadharani bila kuwa na nguo hata moja. We ahve to shame this culture to be able to defeat it. Rushwa haina justification yoyote ile. Rushwa ina SYSTEMIC EFFECT!, Chukulia effect ya kirusi kimoja cha ukimwi ndani ya mwili, kina multiply kadiri siku zinavyoenda na matokeo yake ni mwili ku-cease kufanya kazi (death).
 
mkuu haya mawazo ndiyo ndiyo yameiua nchi. Nchi zilizoendelea ukiomba rushwa au kupokea na watu wakijua unakuwa kama vile umejisaidia hadharani bila kuwa na nguo hata moja. We ahve to shame this culture to be able to defeat it. Rushwa haina justification yoyote ile. Rushwa ina systemic effect!, chukulia effect ya kirusi kimoja cha ukimwi ndani ya mwili, kina multiply kadiri siku zinavyoenda na matokeo yake ni mwili ku-cease kufanya kazi (death).

naungana na wewe kwa asilimia zote - jamani mmesahau hata watu wa uhamiaji wanakula sana rushwa wanatoa vibari feki kila kukicha wanaingiza watu ambao sio sahahihi kuchukua nafasi za watu ambao ni sahihi wakitanzania

hawa nao wanauza sana nchi hii
 
Deo kitambi
poo1-300x296.jpg
 
Back
Top Bottom