vyuo 3 bora vya sheria Tanzania ni vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vyuo 3 bora vya sheria Tanzania ni vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mercy mpossi, Dec 7, 2011.

 1. m

  mercy mpossi New Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nataka kujua vyuo vitatu bora kwa kutoa degree ya sheria ha nichini
   
 2. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Vyuo vinatoa degree bora za Sheria au wahitimu bora wa degre za sheria?
  1. UDSM - Die hard
  2. Mzumbe University
  3. Deleted
   
 3. l

  lunogelo Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  3. Morogoro Muslim
   
 4. a

  actus Senior Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu hoja yako ungeenda jukwaa la elimu.lakini kwa msaada ni kua mwanafunzi kama mwanafunzi yeye mwenyewe ndo atakua bora na sio amesomea chuo gani.kwa ufupi ni kua hawakufundishi sheria wanakufundisha were and how to find a law.they just facilitate you.haya mambo ya chuo gani ni bora bila kuangalia mwanafunzi anajua nini hachana nayo ni mawazo mgando.na hili ni kwa kozi zote sio sheria tu.hata kama ukienda kusoma law hapo HAVARD aliposoma mh Chenge mzee wa vijisenti still unaweza kutoka bado ukiwa mbabaishaji na huelewi.itabaki tu ooh Kichwa cha HAVARD lakini kwenye hoja sufuri.wewe zinduka kasome chuo chochote kama tu point za kukupeleka hukom unazo
   
 5. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  1. UDSM
  2. Mzumbe University
  3. Tumaini - Iringa
   
 6. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Sahihi kabisa!!! :clap2:
  :clap2:
   
 7. a

  actus Senior Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa vigezo vp ulivyotumia?
   
 8. J

  Jamuhuri Huru Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I concur with you 100%
   
 9. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Saint Augustine University of Tanzania kinaongoza, wanafunzi wengi wa sheria wanakimbia kwenda Udom na vyuo vingne!. Kwa mf walograduate mwaka huu ni 310 wakati wanaingia waliku 518! Vipindi vimebana hauna pa kupumulia.
   
 10. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  die hard. nenda mlimani utapata uwezo wa kuhimili mikikimikiki
   
 11. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mlimani shamba la bibi, Tumaini inaongoza kwa vilaza! St Augustine imejijengea heshima ya hali ya na nidhamu kubwa. Huwezi sikia migomo ya ovyo ovyo, watu hawana muda. Nenda utembelee liblary ya sheria, imesheheni vitabu uptodated. Na kwa taarifa ako, inaongoza afrk mashariki na kati. Kwakifupi ni centre 'n source of great thnkers!
   
 12. The only

  The only JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  how old are u
   
 13. The only

  The only JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  kWA KUONGEZEA ELIMU YA JUU KAZI YA PROF NI KUKUSYSTEMITIZE JINSI YA KUIELEWA BASIC NA FRAME WORK YA KNOWLEDGE KWA 30% WEWE UNAISEEK 70% KWA DIRECTIVES ALIZOKUPA SASA UNAONA CHUO KINANAFASI NDOGO MNO KUKUCHANGE WW KAMA WW SI MTU MAKINI ,KIPIMO:JIULIZE WANASHERIA WONDERFUL WANAFOMULA YA WANAKOTOKA ?
   
 14. B

  Brother Member

  #14
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shit 310??? Alfu wanaenda kuuza mitumba.
   
 15. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ili baadae utoe nishani kama za JK au ???
   
 16. N

  Nassor Mwanaharakati Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  udsm
  Mzumbe university
  Udom
  Zanzibar University
   
 17. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145  I agree with you....Lincoln never attended any meaningful formal school (not even a law school) but through self learning he became one of the wonderful lawyers. Being great in Law, among other things depends on your brains, you could attend the finest schools in the world and still be a PIMP!
   
 18. E

  Ernest Da Vinci Senior Member

  #18
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nna shaka juu ya hawa waliotoa hoja za kugrade hvyo vyuo,kwanza IQ zao,pili Elimu walizonazo,tatu Exposure of the global progres.Sitegemei hata cku moja msomi wa chuo kikuu ambae elimu imemkomboa atoe majibu mepesi kwa swali gumu.Ndg zang mliorank hvyo vyuo kwnza m2eleze mlitumia vigezo vp.Kwanza zingien course zinazotolewa kila chuo na umuhmu wake ktk soko la ajira ulimwenguni JAMANI MSILEMAZWE NA HISTORIA NDEFU ZA VYUO angalieni nini kinapatikana currently acheni taarab,gonga GPA ya juu alaf uone utakavyopapatikiwa na waajiri,dah!Haya ndo madhara ya kutosoma LOGIC AND ARGUMENTATION SKILLS.Sor 4 you,go back to school
   
 19. m

  mwimbule JF-Expert Member

  #19
  Dec 20, 2011
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 485
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  UDSM KINAONGOZA,KINAFUATIWA NA MZUMBE,NA CHA TATU NI ST.AUGUSTINE UNIVERSITY IRINGA. Vigezo ni Idadi ya Wahadhiri na kiwango cha elimu yao,pili Maktaba na Vitabu,na Mwisho ni matokeo yao ya Law School na practice yao kwa mawakili au Serikalini kwa AG. Ubora wa vyuo ni duniani kote,Hata USA ni Havard na Yale university Vinaongoza wakati uingereza ni Oxford University.Hata South Africa kuna University of CaPETOWN.kWAIYO UBORA WA VYUO UPO DUNIANI KOTE NI KUJIDANGANYA KWAMBA VYUO VYOTE VINAFANANA. Shule za msingi zinatofautiana itakuwa vyuo?
   
 20. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #20
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Open university wale vijana hawaiingi na statute na still wanaperform vizuri.
   
Loading...