Recent content by James Uronu

  1. James Uronu

    JamiiForums Tanzania Picha 20 alizochora Adrian Sommeling, ambazo nina uhakika zitakushangaza

    huyu jamaa ni noma sana
  2. James Uronu

    JamiiForums Tanzania Beki tatu wetu

    naomba namba yake enheee
  3. James Uronu

    JamiiForums Tanzania Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

    nenda saloon utapata ushauri
  4. James Uronu

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    hainaga ushemeji sie tunakulaga tuu
  5. James Uronu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wabovu kabisa kwa michango na post zao hapa MMU 2016 - top 3

    kuna mwingne mmoja ila hyo ndio full majanga
  6. James Uronu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

    duuh ila ndugu yangu kama hauna moyo wa kusamehe kuiona pepo ni ndoto kabisa jifunze kusamehe kaka
  7. James Uronu

    JamiiForums Tanzania Kuendesha gari Tanzania ni kukaribisha umaskini wa kupindukia

    swali lipo hivi je ukipigwa torch sehemu mbayo.sio utajuaje
  8. James Uronu

    JamiiForums Tanzania Kuendesha gari Tanzania ni kukaribisha umaskini wa kupindukia

    mimi kuna siku nilisheleteaga nao shida sasa hapo ndio utajua umuhimu wa Rushwa boss
  9. James Uronu

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya ajabu sana, kupata 'cheti cha kuzaliwa' ni rahisi kuliko 'passport'

    nchi ambayo tunaamini vyeti kuliko performance
  10. James Uronu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume bila pesa kupata mwanamke ni kazi

    ni kweli kama hauna pesa utaishia kula Mafull beki A.K.A madereva masufuria tuu au akupende mwenyewe tuu
  11. James Uronu

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyewahi kusikia kuhusu Bloody Mary

    nilishajaribu ila sikuona kitu
  12. James Uronu

    JamiiForums Tanzania Tamko la Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) kuhusu suala Ben Saanane kutojulikana alipo

    yaaaani huyu mwenye huuu uzi hajui anachouliza atakuwa ni wa Lumumba bila shaka
  13. James Uronu

    JamiiForums Tanzania Neema Arusha; RC Gambo kukabidhi pikipiki 200 tarehe 10 Disemba, 2016

    Mleta uzi habari yako haijakamilika haujeleza.masharti ya mkopo au ukienda unapewa tuu
  14. James Uronu

    JamiiForums Tanzania Karata anazochezewa Rais Magufuli ni hatari kwa nchi yetu

    huyu atakuwa aliisaidia.elimu ila elimu haikumsaidia
Back
Top Bottom