Wanawake wabovu kabisa kwa michango na post zao hapa MMU 2016 - top 3

Kuna mmoja anaenda kwa jina la ka(..)nde yaani mpaka hua nahisi kua alianza mahusiano baada ya menopause maana hata akitiwa kidole lazima aanzishe Uzi huku

Yote Tisa,ila kama kuanzisha nyuzi mbovu ingekua uchaguzi mkuu, amanda cute angechukua ikulu asubuhi tu.
 
Wala nisipigwe na hata nisirushiwe mawe...... huu ni mtazamo wangu na amahakika wengi mtakubaliana nami.........

1. richaabra
2. amanda cute
3. moniccca

bonus
*.....?

Usiku mwema.
Huyo namba moja nadhani hii category haimhusu.
 
Kuna mdada mmoja anaitwa HOUSEGIRL huyu naye nafikiri memsahau kwenye list. Mh! Huyu yupo vizuri aise ukitaka kubishana, mtafute huyu mdada. Nimekumiss sana dada yangu. Tusamehane maana mwaka nao unaishi na kifo ndiyo kinasogea. Yaan tabu tupu. NAKUKUBALI SANA DADA YANGU. POPOTE ULIPO NAKUTAKIA KHERI YA CHRISMASS NA MWAKA MPYA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom