Recent content by James Rodriguez 10

  1. James Rodriguez 10

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwe kodi mpya na ikatwe sh 1000 kwa kila mwezi kwa kila mwenye line ya simu kama sehemu ya income tax

    Hata aibu hawana mkuu Kwa walivyotunyonya mpaka uroto wa mifupa walitakiwa waseme Sasa tumeshiba lakini ni kama wanakua addicted Sasa.
  2. James Rodriguez 10

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwe kodi mpya na ikatwe sh 1000 kwa kila mwezi kwa kila mwenye line ya simu kama sehemu ya income tax

    Mkuu Tanzania umehamia lini? Miezi mitatu ya tozo za kwenye miamala ya simu zilipambwa sana kua zimepatikana kiasi kadhaa zitatumika kufanya kitu fulani lakini saivi hakuna tena hiyo kitu. Kama umetumwa kupima upepo mkuu kawaambie tu kua waongeze hizo Kodi kwa sababu tumeshajua wanachotaka ni...
  3. James Rodriguez 10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Heeeh!!!! Yamekua hayo tena
  4. James Rodriguez 10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  5. James Rodriguez 10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kama umeanza kumuona madueke hafai saizi basi Kuna watu walianza kumuona kabla ya wew na ulitakiwa kuheshimu mitazamo ya wenzako kama ambavyo wengine wanaheshimu mtizamo wako.
  6. James Rodriguez 10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mkuu mbona U-turn tena, wakisema wenzako unakuja juu as if mpira unaangalia peke ako wengine vipofu. Madueke alitakiwa awe Ipswich town FC kule lakini sio kucheza Chelsea.
  7. James Rodriguez 10

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu una 8 pro au 9 pro? Kama zipo unazitoaje?
  8. James Rodriguez 10

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Kiteto, nipo Gairo naombeni ABC za safari na mji ulivyo

    Nenda sehemu panaitwa narco ama njia panda ya kiteto utapata basi pale au hapo gairo subiri gari za kutoka dar to kiteto kama M.J safari, Kimbinyiko, Kamwana, nauli nadhani itakua inacheza kwenye 25000/= (Sina uhakika sana juu ya Hilo). Kuhusu guest nzuri hiyo ni changamoto kubwa ya kiteto...
  9. James Rodriguez 10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mkuu, noni katika mechi 12 za mwisho epl msimu uliopita kafunga magoli matatu na assist moja, tuweke kumbukumbu sawa. Huo ndio mchango mkubwa kwako???
  10. James Rodriguez 10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mkuu Madueke namjua toka anacheza league ya uholanzi, ni mchezaji wa kawaida mno kucheza Chelsea labda let's hope miaka mitatu ijayo awe amejifunza mpira lakn kwa Sasa hapa he's too low for Chelsea.
  11. James Rodriguez 10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mkuu kwa heshima yako kwenye hili jukwaa nimejitahidi sana nisikukosee heshima lakini naona shetani anakataza kabisa na ntashinda tu. Madueke umfananishe na doku kweli??? Seriously??? Nadhan ni watu wa aina mbili wanaoweza kufanya comparison ya namna hii 1. lembu 2. Kichaa asiejua mpira bali...
  12. James Rodriguez 10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Noni watano twanga na sterling wawili weka na mchuuzi wa mykalo ndipo Joao mmoja mkuu. Noni ni wa kucheza team kama crystal palace au Everton lakn sio Chelsea, nikimuangalia noni anacheza najisemea pengine ningekua Ulaya saiv yawezekana ningekua mchezaji wa premier kwa sababu akili ya mpira...
  13. James Rodriguez 10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Labda uulize wew mkuu, Kuna wadau humu wanaona potential kwa noni.
  14. James Rodriguez 10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kweli mwenye mtoto haoni kasoro. Hadi kesho nabaki najiuliza ni ubora gani wa madueke mnaouhubiri humu ndani? Madueke huyuhuyu tunaemuangalia sote ndye mseme ni Bora kwa Joao, seriously? Ni basi tu pengine Joao ana kigundu chake lakn ni dhambi kubwa ya mpira kumfananisha na noni, Joao is far...
  15. James Rodriguez 10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mkuu madueke huyuhuyu nnaemjua au Kuna usajili mpya umefanyika.
Back
Top Bottom