Recent content by jamasike

  1. J

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    unataka kujua nn aswa?kuna kabila la wajaluo kwa wingi samaki na chakula kikuu ni ugali wa mtama uliochanywa muhogo,na ni wakorofi
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ndani ya gari kuna hewa 'Air Circullation'

    ww elimu yako ni kiwango gani?iyohewa itatoka wapi wakati umefunga kila kitu?jaribu uonw balaa lake
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika Mbunge wangu, ya wengine unayajua, yako je?

    kazi ya mbuge sio kuonekana mtaani kwako,kwani alikuadi kuwa atakuwa anaoenekana mtaani kwako?au unataka kuomba hela ya bia fanya kazi acha uvivu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    ulisikia ni ya mtei ila huna uhakika njoo na facts sio maneno ya kusikua
  5. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

    sasa pampaz ni tusi
  6. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

    saivi ndo unasema sio madhabau mbona kipindi kile cha ulimboka,kamanda kova alisema yule mkenya alimfata gwajima madhabauni? na ilikuwa hapohapo Tanganyika pekas
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    we unachuki binafsi we mjaluo wa wapi?au umeshindwa kujenga hoja unaleta habari za ukabila na pia migogoro aitatuliwi hapa jf
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wasomi: Tundu Lissu Muongo na anafeki sana

    mbona usemi ufeki wake?wasomi ni akina nani?au unataka tumwamini makonda
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mhe. Lema, Mhe. Msigwa na Mhe. Sugu kuendelea kukoleza moto wa Mabadiliko Morogoro

    mbona umsemi lameck Airo wa rorya
  10. J

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni mambo ya ajabu

    hoja nn sasa amazing au mvua fulani?ebu kuwa serious
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    umesahau kuna rorya mtu anaitwa lameck Airo atutaki kuona ata sura yake,badala yaje aje owawa au makohoko
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kiti cha Ubunge Rorya - Wananchi Jimbo la Rorya muwe makini

    alitangaza nia ata kabla izo tuhuma unazosema so akuna sababu ya kumuhukumu,
  13. J

    JamiiForums Tanzania Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    sema utamuunga mkono sio tutamuunga wewe na nani?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nauza Carina Ti toleo la 2001, cc 1490 No DDB

    achaa tamaa uza milioni tisa ndo utafanikiwa
  15. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atunukiwa PhD (Doctor of Philosophy)

    gwajima sio askofu ni (mchungaji)
Back
Top Bottom