Wasomi: Tundu Lissu Muongo na anafeki sana

Wasomi: Tundu Lissu Muongo na anafeki sana

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Kwa wale wanaosoma vitabu sana kama umesoma vitabu vilivyoandikwa na Allan na Barbara sasa hebu nenda YouTube unangalie video ya kwanza hadi ya mwisho inayomhusu utamjua vizuri Tundu lissu kisha utamuacha tu jinsi alivyo.

Mfano hii video inaonyesha Tundu lissu akisema uongo kabisa, lakini kama hujasoma hivi vitabu hutagundua kitu chochote.

[video=youtube_share;gWGZpkCiIB8]http://youtu.be/gWGZpkCiIB8[/video]
 
hao wasomi wasomi wa nini au wasomi wa vitabu vya shigongo
 
Hao watakuwa wasomi wa ccm. Maana sisi waendesha bodaboda tusio wasomi tunamwelewa sana! Ndo maana redio za bodaboda zetu zina spika kubwa kubwa maalum kwa ajili ya Lissu na wabunge wote wa chadema!
 
Taifa linalokuwa na watu wapumbavu kuabudu ujinga na kudhalilisha watu muhim wanaotendea haki taaluma zao.

Muulize kikwete kwanin alisema bora Dr. Slaa kuwa rais kuliko Tundu kuingia bungen.......kwasabab anafaham Tundu nimoto wa kuotea mbali.
 
Nikadhani hii imeongelewa na wasomi,kumbe ni mzee mkuda.
 
Shida ya Tundu Lissu ni 'mwanaharakati zaidi' kuliko kuwa mwanasiasa
wanaharakati hawajui ku 'compromise'
wanasiasa ku 'compromise' is a way of life

...hao wadudu wanaoitwa 'compromise' ndio wameikwamisha hii nchi kwenye tope la ujinga,maradhi na umasikini wa kutupa...imefika wakati sasa wa kutenda tofauti na kawaida kama kweli tunataka kutoka hapa tulipo...
 
Sijui kwanini huwa namuona ni mtu wa shari shari tu.

Ni mpambanaji

shida ya wapambanaji ni kuwa wanapambana halafu kuongoza wanaongoza wengine

watu huwapigia kura 'calm heads' kuwaongoza
 
Hao watakuwa wasomi wa ccm. Maana sisi waendesha bodaboda tusio wasomi tunamwelewa sana! Ndo maana redio za bodaboda zetu zina spika kubwa kubwa maalum kwa ajili ya Lissu na wabunge wote wa chadema!

Ha! kumbe zilitengenezwa hapahapa bongo, inamaana uganda zilebodaboda zinye spika kubwa nazi nikwaniaba ya Tundulisu! vizuri kujua japo akili yakuambiwa....
 
Ha! kumbe zilitengenezwa hapahapa bongo, inamaana uganda zilebodaboda zinye spika kubwa nazi nikwaniaba ya Tundulisu! vizuri kujua japo akili yakuambiwa....

Mm naendesha bodaboda hapa bongo. Ya uganda yananihusu nini mimi?
 
Shida ya Tundu Lissu ni 'mwanaharakati zaidi' kuliko kuwa mwanasiasa
wanaharakati hawajui ku 'compromise'
wanasiasa ku 'compromise' is a way of life
unashauri kipi kati ya viwili?awe mwanaharakati shupavu au mwanasiasa nalenale aka mlenda
 
Tunaangalia clip tofauti? au ulitaka kuwazungumzia wasomi Bana, Mkumbo, Werema, Tibaijuka,Muhongo et al? ... Itoshe kusema Lisu ni full battalion hata JK anamtambua kwa hilo....
 
Sipendi hilo neno " wasomi", Tz kwa sasa watu wengi tu wana Bachelor degree na wengi tu wana Masters. Wasomi wapi? Kila m2 anaelewa ukweli.
 
ukubwa wa LIssu, hofu kwa CCM. Wananchi tunamwelewa sana LISSU, na ni shujaa wetu
 
Back
Top Bottom