Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Henry Kilewo hawezi kupata Mwanga japo tumejipanga kuhakikisha wapinzani wanashinda ila si wapinzani wa aina ya Kilewo a can bet

nakupa like kubwa mkuu hakika umenena vyema. ....kileo abaki na mke wake tu kwenye wanawake live.
 
Henry Kilewo hawezi kupata Mwanga japo tumejipanga kuhakikisha wapinzani wanashinda ila si wapinzani wa aina ya Kilewo a can bet

nakupa like kubwa mkuu hakika umenena vyema. ....kileo abaki na mke wake tu kwenye wanawake live maana anapenda mipasho.
 
Joseph Mbilinyi-mbeya mjini,
Silinde-momba,tunduma.
Hawa watarudi kwa kishindo pia.
 
Ninaomba Zito akagombee jimbo la Ubungo ndo tutaona mbıchı na mbivu.Mnyika atamshnda Zito kwa mbali japo jimbo litanyakuliwa na CCM.Chadema hawamuhtaji Zito, wachache wehu ndo wafuasi wake ambao washamfuata ACT.Pıcha tumeiona serikalı za mitaa.

Mnyika hajafikia level ya zitto wewe acha ushabiki wa kijinga, zitto ni mwanasiasa anayeweza kugombea popote na akapita.
 
Jenister Mhagama ni habari nyingine kabisa CCM nzima, Na kama CCM majembe Sasa huyu mama ni Bulldozer.
 
umesahau kuna rorya mtu anaitwa lameck Airo atutaki kuona ata sura yake,badala yaje aje owawa au makohoko
 
Mwanga hatukurupuki kuchagua Mbunge kwasababu ya chama, Kilewo atasubiri sana.
 
Napendelea hawa:
Esta Balaya Bunda
Halima Mdee kawe
Tundu Lisu huko kwao
Filikunjombe huko kwao
Kange Lugora Mwibara
Mnyaa huko kwao
na wafuatao wasirudi
Jenista Mhagama
Hawa Ghasia
Anna Kilango Malecela
Mary Nagu
Na wabunge wanawake wenye kazi ya wakishangilia tu

Mkuu inaonekana huwapendi wanawake?
 
Napendelea hawa:
Esta Balaya Bunda
Halima Mdee kawe
Tundu Lisu huko kwao
Filikunjombe huko kwao
Kange Lugora Mwibara
Mnyaa huko kwao
na wafuatao wasirudi
Jenista Mhagama
Hawa Ghasia
Anna Kilango Malecela
Mary Nagu
Na wabunge wanawake wenye kazi ya wakishangilia tu

Wafuatao nao walipaswa WASIRUDI mjengoni:
1. Juma Ngamia
2. Job Lusinge
3. Mafiadi wooote akiwemo mzee wa vijisenti.
 
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..

Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!
huyo watatu bwana kilewo mumewe joyce kiria atamruhusu kweli, manake nasikia ameolewa kwa joyce huyo hana tofauti na mbasha na mwenzie gadna. halafu, ameacha ugaidi? halafu anatakiwa arudishe kwanza mke wa watu, huyo sio mkewe kihalali alishaolewa kwa ndoa ya church akaishi na bwanake miaka 8 kilewo akaja kumwiba. amebemendwa miaka 8 halafu yeye anajifanya ndio bebi wake. rudisha mke wa watu kwao ndio upate ubunge.
 
Back
Top Bottom