Nauza Carina Ti toleo la 2001, cc 1490 No DDB

Hello wakuu, gari tajwa hapo juu inauzwa 11.5M, imenunuliwa na kusajiliwa January mwaka huu iko kwenye hali nzuri sana. Moja wapo ya sifa za nyongeza ilizinazo ni kwamba imefungwa tyre zote mpya, road licence hadi 06/01/2016.
Sababu za kuiza ni kwamba currently nimejiingiza kwenye shughuli za mashambani sana hivyo kutumia gari hii ni kuaribu tu na badala yake nataka kuinunua pick up itayoendana na mikimikiki ya mashambani. Only serious buyers, tuwasiliane at 0713751098.

Tupatie Specification
 
Mkuu Lusingo huwezi pata gari ya maana kwa sasa kwa hela hiyo hapa bongo. Shilling imeshuka thamani sana alafu pia kodi iko juu saana hasa kwa magari kama Toyota Carina Ti na IST. ..ukiagiza toka Japan ya maana hupati chini ya 12, bado mazagazaga kama kukadilia tyre na Insurance etc.
 
Acha uongo wewe IST nyingi now n m10 mpaka 11.5 hiyo Carina kwa bei hiyo utasubiri Sana mkuu.
 
Mkuu hizo ni Habari za kusikia barabarani. Tafuta gari yeyote kwenye mtandao i.e Carina au Toyota IST ya maana ambayo japani inauzwa kati ya $2500-3000. Calculate gharama za kuifikisha bandarini then jumlisha na ushuru ambao si chini ya kati ya 4.5M-5....hapo bado hujafanya mambo ya msingi kama tyre, Insurance n.k... fuatilia unipe majibu.
 
Back
Top Bottom