Teachers Development Company Limited (TDCL) ni kampuni ya kibiashara iliyo chn ya CWT sasa taarifa za mapato zipo wapi na ikumbukwe Oluoch alikuwa kiongoz ktk hyo. tunapohoji uhalali wa fedha zilizokwapuliwa ni kwamba hasingiziwi mtu. naomba kwa ukarim mtuelewe ndg zetu.
Mr Oluoch tumetazama koment zako ktk face book umetoa yako ya moyoni kuhusu bank ya walimu na kumtuhumu mama Helen Mbezi, lakin kwa nafasi uliyonayo sion kama ni sawa kutumia maneno makali yale ya "psychiatric status" ni hayo tu
CWT kimesha poteza mwelekeo sasa hakuna kutetea haki na maslahi ya walimu Bali ni kukusanya makato ya walimu tu na kutumiwa na viongozi wa ngazi ya kitaifa saw a na mapenzi yao. Hakuna MTU anaye guswa na madeni sugu ambayo walimu wanaidai serikali. Viongozi wameelekeza nguvu kwenye vitega uchumi tu na kusahau jukumu mama la KUTETEA HAKI NA MASLAHI ya walimu,
Pamoja na kua Oluoch hafai kabisa ila ni afadhali hata CWT kuliko RAAWU inayoongozwa na prof. Hamza Kiko. RAY imeoza ni kama ka NGO ka prof. Kiko na Dr. Michael wa UDSM
Mr Oluoch tumetazama koment zako ktk face book umetoa yako ya moyoni kuhusu bank ya walimu na kumtuhumu mama Helen Mbezi, lakin kwa nafasi uliyonayo sion kama ni sawa kutumia maneno makali yale ya "psychiatric status" ni hayo tu
SIFA MOJA YA KIONGOZI NI KUKUBALI KUONGOZWA, ITAKUMBUKWA MR OLUOCH AMESHAWAH FUKUZWA MARA MBILI KTK VIKAO NA WAKUU WA MIKOA WAWIL TOFAUTI, SASA KAMA MTU ANASHNDWA KUJENGA HOJA ANAKALIA KUFOKA, MATUSI NA LUGHA YA KEJELI, ANAWEZAJE KUWA KIONGOZ BORA KWA CWT? Mungu apishe mbali Oluoch angekuwa ni katbu mkuu naapa mbele ya Mungu chama kingeshakufa,
CWT kimesha poteza mwelekeo sasa hakuna kutetea haki na maslahi ya walimu Bali ni kukusanya makato ya walimu tu na kutumiwa na viongozi wa ngazi ya kitaifa saw a na mapenzi yao. Hakuna MTU anaye guswa na madeni sugu ambayo walimu wanaidai serikali. Viongozi wameelekeza nguvu kwenye vitega uchumi tu na kusahau jukumu mama la KUTETEA HAKI NA MASLAHI ya walimu,
Kwa ujumla walimu watasubiri sana kumpata wa kutetea maslahi yao. Wote,,, ni walewale tu....mukoba na huyu mwenzake. Ndo maana mikakati mingi ya cwt haifankiw. Fanyen maamuzagumu hakuna kusubiri. Adui wa mwalimu ni mwalimu
Kwa nin bwana Oluoch alipokaimu ukatbu mkuu takriban miezi 18 mwaka juzi, aliamua kukodi jengo kwa swala la bank ya walimu na kulilipia zaidi ya milioni saba mpaka kumi kwa mwezi. huu mwaka wa tatu jengo tupu linalipiwa tu jaman jaman kwa nin ufanye hayo mchana kweupe Oluoch jaman huruma huna?
Kwa kweli ukisoma coments ya Oluoch ktk facebook yake unaweza ukate tamaa ya kuwa na pengne ukasirike. ukweli walimu mwaka huu kama anavosema mwenyewe ni mwaka wa mabadiliko, tupate uongozi mpya. tuamue sasa
Wenzetu ambao mmekuwa viongozi kwenye baraza la taifa na kamati ya utendaji taifa (KUT) mnaweza kututhibitishia ukweli wa maneno ya Naibu Katibu Mkuu Mwl Ezekiah Oluoch? niamaanisha alichokiandika kwenye facebook yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.