Recent content by Jafar

 1. J

  Kikwete kuteua wakuu wapya wa mikoa karibuni

  Hiyo ni zawadi kwa "mama mkwe" anasubiria msahau aanze tena "kugawa shukrani kwa washikaji" ngoja uone.
 2. J

  Viongozi wa CHADEMA kutokumtambua Rais ni Kosa?

  Upuuzi mtupu, hii post imekaa ki-CCM sana. Lakini pale shati-la-kijani-CCM litakapowabana watawapigia magoti CHADEMA.
 3. J

  Lowassa amkosoa Kikwete

  hata mimi nilimsikia akisema hivyo na namuunga mkono kwa hilo lakini CCM wanajua hayo?
 4. J

  DR Slaa aeleza sababu ya CHADEMA kususa

  Mwaka ule ambao Rais Keneth Kaunda alishindwa uraisi hakuamini kwamba anaweza kushindwa. Tume ilipotangazwa kushindwa kwake, aliondoka ikulu bila ya kujiandaa na kwa aibu kubwa. Baada ya wiki moja alipanda ndege kuja Tanzania na alipewa nafasi ya kuhutubia NEC-CCM na kuwaeleza kuwa "msiombe...
 5. J

  Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

  Kumbe tuli-desa, kwanini hatuuachi tukatunga cha kwetu
 6. J

  Nusura Nitapike!

  Msamehe bure
 7. J

  Motion: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

  Hii ni ya 2005 sijui mwaka huu mahesabu yakoje PartiesVotes%DirectAdditionalTotalseatsWomenseats seats Chama Cha Mapinduzi (Revolutionary Party)7,579,8977020658264Civic United Front (Chama Cha Wananchi)1,551,24314.3191130Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Party for Democracy and...
 8. J

  The Best Bongo Flava Tunes (yenye maudhui ya siasa)

  Nenda CCM Lumumba utapata "album" zote
 9. J

  Top Ten footballers Tanzania ever produced

  Sorry, umemsahau Rashid Mfaume (RIP)
 10. J

  Jamani hodiii..!! Nikaribisheni mwenzenu nitoe dukuduku langu...

  Basi hufai kuja hapa, nenda sehemu nyingie kama Clouds FM, Uhuru na Mzalendo, Daily News n.k. lakini karibu:sorry::blah::bump::closed_2::lalala::banplease:
 11. J

  Mazao gani yanafaa kwa kilimo chalinze?

  panda 1. Mananasi 2. Mihogo 3. Mbaazi 4. Mkonge
 12. J

  Aaarrrrrrggrr nipokeni, walitema mate chini, hata Masai hawamtaki JK,

  sasa mbona ndugu zao walimchagua huyo huyo ???? lakini karibu :welcome::welcome::welcome:
 13. J

  Election 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

  No tatizo lazima awe "mkristu" ili kubalansi pale juu. Kwa hiyo sio kweli ... god forbid.
 14. J

  Je ni kweli?

  Kwa ndume hakuna madhara, kwa jike anaweza akapoteza uwezo wa kufikiri kimaantiki.
Top