The Best Bongo Flava Tunes (yenye maudhui ya siasa)

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,205
0
Please Natengeneza Playlist ya Best Tunes za Bongo flava zenye maudhui ya siasa please any suggestion
1. Wimbo wa Taifa 'Kala Jeremiah Ft Nakaaya (YouTube - Wimbo wa Taifa - Kala Jeremiah fet Nakaaya)

2. Ni wapi Tunakwenda (Mr II aka Sugu) (please mwenye link ya huu wimbo naomba)

any more suggestions please - also kama kuna mwenye Yamenikuta Mzee Mwenzangu (Mr II ft GWM) naomba although hii sio pure siasa ila iko patriotic
 
Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
715
250
Sitamani hata kuona picha yake achilia mbali video zake huyo binki wa kiarusha, ameniheart sana, nilimwamini na kumwona kuwa ni mmoja wa mabinti jasiri sana hapa bongo, kumbe hakuwa na lolote zaidi ya kujinafikisha na kulalama kwingi ili aonewe huruma. Kumbe yuko kimaslai zaidi kuliko utaifa na nyimbo anazoimba ni tofauti na matendo yake kabisa..kwendaaaaaaaaaaa
 
Gsana

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
4,398
1,500
Please Natengeneza Playlist ya Best Tunes za Bongo flava zenye maudhui ya siasa please any suggestion
1. Wimbo wa Taifa 'Kala Jeremiah Ft Nakaaya (YouTube - Wimbo wa Taifa - Kala Jeremiah fet Nakaaya)

2. Ni wapi Tunakwenda (Mr II aka Sugu) (please mwenye link ya huu wimbo naomba)

any more suggestions please - also kama kuna mwenye Yamenikuta Mzee Mwenzangu (Mr II ft GWM) naomba although hii sio pure siasa ila iko patriotic

mkuu ongeza na : prof J,nang'atuka, pia kikao cha dharua. Pia ile ya Roma: mr President. Ile ya nakaaya mCCM,ya mr Politician zinafaa au vp?
 
Meale

Member
Nov 24, 2009
91
0
Roma - Tanzania. Halafu kuna wasanii kama wanaume TMK, Diamond, Tip top na wale wa THT wamegeuza nyimbo zao zilizofanya vizuri na kuwa za siasa. Album yao imeandikwa 'Kikwete 2010, bongo fleva zaidi' nadhani pale Lumumba bado watakuwa nazo, free of charge.
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,205
0
Roma - Tanzania. Halafu kuna wasanii kama wanaume TMK, Diamond, Tip top na wale wa THT wamegeuza nyimbo zao zilizofanya vizuri na kuwa za siasa. Album yao imeandikwa 'Kikwete 2010, bongo fleva zaidi' nadhani pale Lumumba bado watakuwa nazo, free of charge.

'Kikwete 2010, bongo fleva zaidi' I think this i will put it on the worse (mbaya mbaya zaidi, haifai:tape::doh::A S angry:) record of the century wamefanya tunes nilizokuwa nazipenda nizichukie.
 
Jof

Member
Nov 13, 2010
31
0
Usisahau zifuatazo Mkuu 1. Mr President-Roma, Ni jukumu letu- Prof J na MwanaFA. Mr Politician- Nakaaya.
 
Meale

Member
Nov 24, 2009
91
0
<b>'Kikwete 2010, bongo fleva zaidi'</b> I think this i will put it on the worse (mbaya mbaya zaidi, haifai<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/tape.gif" border="0" alt="" title="Tape" smilieid="297" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/doh.gif" border="0" alt="" title="Doh" smilieid="169" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/A S angry.gif" border="0" alt="" title="A S Angry" smilieid="105" class="inlineimg" />) record of the century wamefanya tunes nilizokuwa nazipenda nizichukie.

hahahaaa mi nimeenda mbali zaidi, nawachukia hadi wasanii wenyewe waliokuwa wanampa tafu. Kwa hiyo wahesabu wamepoteza shabiki mmoja.
 
luvcyna

JF-Expert Member
Feb 24, 2009
1,854
2,000
Nani asiyejua kuwa kina Marlow, Diamond na TMK ni BIG G, wametafunwa ladha imeisha watu wameingia mjengoni na wameshasahau hata ladha! Wajigeuze labda pipi 2015 ili walambwe!
 
Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,167
2,000
Sitamani hata kuona picha yake achilia mbali video zake huyo binki wa kiarusha, ameniheart sana, nilimwamini na kumwona kuwa ni mmoja wa mabinti jasiri sana hapa bongo, kumbe hakuwa na lolote zaidi ya kujinafikisha na kulalama kwingi ili aonewe huruma. Kumbe yuko kimaslai zaidi kuliko utaifa na nyimbo anazoimba ni tofauti na matendo yake kabisa..kwendaaaaaaaaaaa

u said it, hafai huyu, she is hypocrite, culprit,puppet of CCM, wala hafai katika nyimbo kama hizi, maana kizabinazabina sana mtoto huyu, low minded, ni wale wale waganga njaaa
 
Monstgala

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
1,082
1,250
Sitamani hata kuona picha yake achilia mbali video zake huyo binki wa kiarusha, ameniheart sana, nilimwamini na kumwona kuwa ni mmoja wa mabinti jasiri sana hapa bongo, kumbe hakuwa na lolote zaidi ya kujinafikisha na kulalama kwingi ili aonewe huruma. Kumbe yuko kimaslai zaidi kuliko utaifa na nyimbo anazoimba ni tofauti na matendo yake kabisa..kwendaaaaaaaaaaa

Badilisha bana..umeleta maana tofauti kabisa!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom