Recent content by JacKobonyo

  1. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania Airtel, Tatizo liko wapi?

    Airtel saiv hawaeleweki niliamusha pesa zangu kidogo kutoka Airtel money kwenda kwenye TIMIZA AKIBA Yao imetokea nimekwama leo siku ya nne toka nimeahamisha hela kutoa kwenye TIMIZA kurudisha kwenye Airtel money niweze kutoa hela haitoki naambiwa tunashughulikia muamala wako. Huduma kwa wateja...
  2. JacKobonyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu gani nitumie nichukue namba ya huyu mrembo

    Agiza maji makubwa mzee we ni genius
  3. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania Weka picha yoyote ya Mandhari hapa

  4. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania Weka picha yoyote ya Mandhari hapa

  5. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania icloud unlock for iphones

    Mkuu wewe ndiye umenena
  6. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Naomba kama umebahatika kuipata hiyo joining instruction ya kibiti high school nipasie na Mimi Email address edgarobonyo25@gmail.com Whatsapp # 0659716056
  7. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Msaada naomba mwenye joining instruction ya kibiti high school. Haipo kwenye link hapo juu Email: edgarobonyo25@gmail.com
  8. JacKobonyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukumbushane siku ya kwanza kutongoza au kusakiziwa msichana, ulifanyaje?

    We ni hatari eti "Nikapotea Kama ndege ya Malaysia " asikuone hadi Leo
  9. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Ni iPhone 4s Kweli ngoja nikutumie picha
  10. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Me ninayo iPhone 4s nauza kwa atakayejitokeza ni yangu kbs but ilikuja kwa makosa nilipoagiza yaan haina sehemu ya kukaa line hivyo unatumia wifi tu. Anaehitaji hata spare zake aje inbox tufanye biashara
  11. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ukitaka kufaulu mitihani fuata mbinu hizi

    Yeezus Kwanza nikwambie tu me siyo bwege Kama ulivyosema na Nina akili zangu timamu refers to the aim ya mtoa hoia, kaongelea kuhusu usomaji usome kwa kufata misingii ipi , na pia kabla ya kuingia kwenye paper unapaswa kufanya nn.... Na siyo kwamba hivyo vitu sivijui Na hicho ndicho...
  12. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Makonda hana mamlaka anayojidai nayo ya kuhamisha watu

    Wengine tunafikiri kwa kichwa sijui mwenzetu una fikiri kwa kutumia nini ?
  13. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: I am not a drug addict, and I am not a drug abuser (Exclusive)

    Huyo jinsi anavyoonekana hata nauli tu ya kumfikisha pale central hana
  14. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: I am not a drug addict, and I am not a drug abuser (Exclusive)

    kwa hali hii jamani usiguse haya madawa ni hatari sikuamini kumwona komando wa ilala kawa kawa hivi
  15. JacKobonyo

    JamiiForums Tanzania Naomba wa kunisaidia kutoa icloud kwenye Iphone

    Huwezi kutoa iCloud kwenye iPhone afu hiyo iPhone I think ni yangu siyo iPhone 5C kweli ? Kama ni yenyewe njoo inbox
Back
Top Bottom