Recent content by Jabman

  1. Jabman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru na Raila waanza majadiliano kimya ya jinsi ya kugawana

    Waubillah tawfiq
  2. Jabman

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Emmerson Mnangagwa aliyekuwa makamu wa rais wa Zimbabwe wanamwita crocodile(mamba)?

    Alikuwa mwanajeshi was jeshi LA majini. Aliishi majini kwa zaidi ya siku 30 bila kutoka nnchi kavu.na ndo hapo jina LA crocodile lilipoanzia.
  3. Jabman

    JamiiForums Tanzania Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    In kawaida mchezaji anayesumbua timu pinzani kutafutwa kwa dau kubwa ili wampate. Anaweza kupewa namba au kukaa benchi mradi hasumbui tena. Hata siasa hivyo hivyo ila tuangalie, si ajabu kupelekwa sleeper agents ili warudishe feedback. Katambi vs Nyarandu NB. Tusijenge chuki
  4. Jabman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ashinda taji la malkia wa urembo Afrika

    Vipi , unamfahamu ni wa wapi?
  5. Jabman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mamlaka ya mawasiliano yapiga marufuku matangazo ya moja kwa moja kwa mikutano ya Kisiasa

    Uhuru wa habari kwishnei
  6. Jabman

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakulya Hadi Leo Wanapigana Vita?

    Hata wamarekani wanapigana hadi Leo huko Pakistan na wako mbioni kupigana na kim
  7. Jabman

    JamiiForums Tanzania Badili sentensi hii kutoka umoja kwenda wingi 'Kaka yangu ana mke'

    Itenge wanawake iwe wana wake
  8. Jabman

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kwenda South Korea

    Nenda North Korea ndiko amani imetamalaki
  9. Jabman

    JamiiForums Tanzania Robert Mugabe Ataacha kwa Hiari, Atarejea Ikulu Akiamua

    UN is nonsense. Wazimbabwe waamue wenyewe hatma ya nnchi yao
  10. Jabman

    JamiiForums Tanzania Upi mkoa wa ndoto za maisha yako?

    Hahahahahahhhhhhhhhh!!!
  11. Jabman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bila haya Bidada ana miaka 33 anataka nimwoe. Nimemcheck usoni yupo serious kabisa

    Atakufaa huyo, ameletwa kwako na Mungu muumba mbingu na nnchi. Kwanza ni bikra kajitunza sana. Unataka kupiga teke bakuli LA dhahabu. Lakini pia uache women discrimination
  12. Jabman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

    Siyo kuchanwa. Ukitaka kubadili jinsia ndipo watakuchana.
  13. Jabman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

    Siyo operations. Utapimwa kwa vipimo maalumu siyo kupasuliwa mkuu. Jipe moyo
Back
Top Bottom