Kwa nini Emmerson Mnangagwa aliyekuwa makamu wa rais wa Zimbabwe wanamwita crocodile(mamba)?

ng`wana ong`wa kulwa

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
2,420
1,744
Ni ukweli usiopingika kuwa jamaa atakuwa rais wa Zimbabwe
Mimi najiuliza kwa nini jina la utani wanamwita mamba ?
Hasa nikitazama tabia za mamba mfano.
Hula wanyama mpaka mtu ni kitoweo cha mamba

Ana nguvu sana
Hatishwi na awaye yeyote

Huyu jamaa kwa nini wamfananishe na mamba ?
 
a.k.a tu Mjomba
 
Africa wewe isikie.l tu kwenye taarifa za habari ukipewa live kinachoendelea huko jijini; utalia machozi debe lijae.
 
kifupi huyu jamaa ni mwana vita aliwahi kipigana vita nyingi sana nchini mwake uhodari wake katika mapigano ndiko alipopata jina hilo
 
Back
Top Bottom