Recent content by J O

  1. J

    JamiiForums Tanzania Namuhitaji huyu

    Ndio matatizo ya kusoma sana bila kujichanganya na jamii unakuja kupata shida ukubwani
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba ninayetarajia kumuoa ni mlevi, nifanyaje?

    Hahahaha asa unaomba ushauri kwa jambo tu hiyo ndoa utaiweza kweli? You are not strong enough kua someone husband
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Anatumia bracelet aliyopewa na mama yake aliyekufa asipate mimba, kapata mimba nifanyaje?

    Lea mimba hiyo acha kukimbia majukumu
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal Hataarrrii
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Unachofanya unakosea asee .. kama ungekua hujatumia pesa ya wife wako kwenye kujijenga upya hapo ungekua free kufanya mambo yako .. hata kama alikua anakudanganya ila.kwa namna moja au nyingine pesa zake ndio zimekusaidia kaa chini mfungue ukurasa mpya na mkeo kwenye ndoa yenu .. unachotaka...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Muda wote nilikua nachukizwa na ukawa kwa kumleta lowasaa ila asee nimekuja humu ndio nimeona sipo peke yangu kuna wadau wengi pia wameona na hawa ukawa nao miyeyusho tu... Me binafsi niliwaamini sana kabla ya kumteua kwao lowassa ila baada ya kumpokea huyo jamaa na kumfanya awe mgombea wao...
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Hahaha dah
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mnadhani leo tunapiga ngapi chelsea? naona ni 2-1 nyie je?
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu ana maneno, akianza kuongea hamalizi

    Ishu simple shamba asubuhi jion birthday baasii akigoma potezea birthday
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Member Mpya Hapa, Shabiki wa Arsenal

    Mara ya mwisho kusherekea epl itakua 2016 may
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemsaliti mpenzi wangu

    Hahaha
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Member Mpya Hapa, Shabiki wa Arsenal

    Habari Zenu wakuu.. Me ni member mpya humu jf sina muda sana na ni shabiki mkubwa wa arsenal football club.. naitwa Joel Chuku... Kwa watumiaji wa facebook watakua wananifahamu kwakua nipo kwenye magroup mbali mbali ya huko.. Natumaini mtanipokea tuongelee michezo ili sote tuburudike ...
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Habari zenu Wakuu.. new member here arsenal damu
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ile naingia tu, jamaa anapiga kofi wowowo la mke wangu, huku wakifurahi

    Mrudie Mkeo Wa ndoa
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii sio aina ya maisha niliotaka kuishi, sikutamani kupata mtoto kabla ya ndoa

    kwa maelezo yako unacho taka mimi sikielewi .. Unataka mimba ipotee kimiujiza .. Wewe ushatoa boko, hamna kukimbia ukweli .. Chagua umuoe huyo binti au mtoto Wako alelewe na Baba/mama mwingine au uitoe iyo mimba .. Hapo hamna njia zaidi ya hizo.. Face the fact usiwape shida watu wa kukupa...
Back
Top Bottom