Habari zenu Wakuu.. new member here arsenal damu
Wakuu niaje?
Habari za Usajili
Arsenal wameghairi kufanya usajili wa DM kwani Mikael Arteta ameongezewa muda kwenye mkataba wake hadi mwaka mwingine hivyo Arsene anaona hakuna haja ya kuwa na 3 DMs.
Hata hivyo Target zetu William Cavalho na Artulo Vidal huenda mmoja wao akaenda Real Madrid kwani wao wanaweza kulipa zaidi ya 37m paundi.
Ila Arsenal bado wapo sokoni wakitafuta attacking midfielder na mshambuliaji hivyo bado Pedro wa Barca anazungumzwa na Arsenal wamekwishafanya mazungumzo na wawakilishi wake wiki ilopita.
Habari zingine za usajili.
Jole Campbel anakwenda Besistas
Carl Jeckinson atabakia West Ham lakini mpunga unaongezwa hadi kufiki paundi 35000 kwa wiki.
Mathieu Flamini huenda nae akaondoka bila ada yoyote kulipwa.
Everton wameweka mezani paundi milioni 5 kwa kutaka kumsajili David Ospina ambae anapendelea kuishi Uingereza.
Na mwisho Arsenal wanatafuta beki mwingine wa kushoto kusaidia sehemu hiyo na kuna dogo mmoja anaitwa Jordan Amavi ambe anachezea timu ya Nice ya France anafutiliwa ila kuna timu ingine ya EPL ambayo nao wameonyesha interest.
wenger ni mpuuzi DM ndo alibidi afanye his 1st priority anaenda sajili kipa a.k.a dereva bodaboda wakati ospina alisha imaster namba fresh kabisa asiposajili kiungo mkabaji naomba tukose top 4 msimu ujao. F.a imempa kichwa. Kila timu inasajili yeye tu hataki utafikiri pesa za baba yake

kweli kabisaHata mimi naona Ospina alishajiweka vizuri katika nafasi ya ukipa. Na hawezi kukubali kuwa second choice coz kila timu aliyochezea amekuwa first choice. Nina uhakika Ospina ataondoka, in as much as I like Cech, sikupenda kuona Ospina akiondoka.
Vp calvalo na Vidal mmefikia wapi? Aterta kaongezewa mwaka mmoja
wenger ni mpuuzi DM ndo alibidi afanye his 1st priority anaenda sajili kipa a.k.a dereva bodaboda wakati ospina alisha imaster namba fresh kabisa asiposajili kiungo mkabaji naomba tukose top 4 msimu ujao. F.a imempa kichwa. Kila timu inasajili yeye tu hataki utafikiri pesa za baba yake
angalia maandalizi Ya barcelona 22/7 LA galaxy vs barcelona
25/7 man united vs barcelona
29/7 barcelona vs chelsea
2/8 fiorentina vs barcelona
Angalia hapa ya arsenal
15/7 arsenal vs singapore selection 25/7 arsenal vs olympic lyon
26/7 arsenal vs wlfsburge, inayofuata ni ya chelsea
Maandalizi yetu ni timu rahisi sana, uongozi wa arsenal ndio unaosababisha timu yetu iboronge, ukiangalia hapo sote tunaenda kucheza uefa, ndio maana hatufiki popote
kikos kinachoenda singapore
Naona baadhi ya wachezaji waliokuwa katika loans( Jenkinson, Joel Campbell,Sanogo) hawatakwenda katika hii tour. Ina maana wapo mbioni kuuzwa ama?