Mtu asinywe hata bia jamani........?.......wayiii........
Hahahaha asa unaomba ushauri kwa jambo tu hiyo ndoa utaiweza kweli? You are not strong enough kua someone husband
Kwani akinywa anakufanya nini hadi uchukie?
pombe inaongezaga ka uromantiki lakini
Tuna walevi wengi JF,na wapo pia wanywa ‘cha Arusha'!
Napenda sana mwanamke anaetumia pombe. Mnywe muwe stimu pamoja, bomba sana. I love it. Ila isiwe ya kulewa mpaka anafanya visa barabarani n.k
Yah.......unakunywa......anakunywa........mnakunywa........mnafurahi..........
mmh mwanamke anywe afu we usinywe... hiyo ngumu kumeza!!!
Cha Arusha hakina vat.......ni dhambi kufanya mambo yasiochangia deni la taifa...........na ole wao wasiochangia hilo deni.......
Mimi ni kijana ambaye natarajia kuoa karibuni but mchumba wangu tuna kama mwaka mmoja hivi ila tatizo ni mlevi na mimi situmii kabisa pombe na cha ajabu nilikuja kujua tayari tuko ndani ya mapenzi mpaka sijui nifanyeje.
Msaada please