Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi ndo kusema mzee hataki kusajili mshambuliaji

Tetesi zinachema Reus ... ... .yuko njiani for £40 million ... ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lakini hadi atue Prof very secretive. Mwaka huu kaamua kwenda msimu mzima bila kufungwa na kimburu yeyote ... ... patamu hapo Ding ... Dong!
 
Mtaa wa 8 mnapenda kuotaaa!!!!
 
Leo nategemea makubwa kutoka kwa arsenal, Mungu isaidie tuwafunge chelsea
 
Wakuu nikumbushwe Mara ya mwisho Wenger kuifunga Chelsea ya morinyo
 
Arsenal hata kama wapewe timu nzima ya Barca bado haitaweza chukua EPL
 
Before last season I used to be scared of Mou but not any more. To hell with his antics and tactics. We are gunning for u Mou.
 
Misimu miwili morinyo kafungwa na man city mara moja tu sio man u,arsenal,liverpool usiandike kiushabiki labda kabla ya kwenda inter

spurs??
villa??
stoke??

kumbe chelsick ni kama kale katim kamoja ka vpl kenyewe kakiifunga timu flan basi kanahic kama kamebeba ligi ya mabingwa afrika hata kama hakajashika hata nafac ya 3 teh teh

in wenger we trust
go gunner go gunner
 
Back
Top Bottom