Recent content by Ivonya-Ngia

  1. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania UKAWA badilisheni mfumo wa siasa zenu-Ni wakati wa kubadilika

    Nilimsoma kwanza Kitila kama hivi.... Wakaja waungwana wengine kama hivi.....sasa ni wewe Ibilisi Ila sasa naona mapokeo ya wakereketwa ni vile vile. Naanza kuwaamini wale wasemao kuwa kabla ya kukuangamiza Mwenyezi Mungu hutuma waja wake kwanza kukupa fursa ya angalizo na kujirekebisha na...
  2. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Kila mtanzania ajitathmini ndani ya siku 100 za serikali hii amelifanyia nini Taifa na yeye Binafsi

    Ukiipenda "pepo" sharti uwe radhi kuonja mauti kwanza.
  3. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Habari Nzuri: DPP Kapewa Taa ya Kijani; Akishindwa Atatumbuliwa!

    Unataka tuiamini serikali ipi sasa?
  4. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Ukimya katika jambo hili nyeti unadhihirisha udhaifu wa Waafrika kwa 100%

    Ila kwa hili Kagame amewatega vibaya maana msingi mkuu wa hiyo demokrasia ya magharibi ni maamuzi ya watu(katika wingi wao) na Kagame ili kuongeza presidential term akarudisha wazo zima kwa wananchi ili watoe uamuzi nao kwa wingi wao wakasema NDIYO. Bad enough katika hii demokrasia...
  5. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Kikwete vs Magufuli - uteuzi wa watendaji wa serikali

    Tuthibitishie hapa kuwa rais haiamini mifumo ya usalama.
  6. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kumeibuka tabia ya kuwanyanyasa waliounga mkono upinzani

    Kuna jambo moja tu hapa...huyu ndugu amenusa harufu ya mchakato wa DPP juu yake sasa anatafuta public sympathy mapema. Let's wait and see!!!
  7. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Je, Werema, Muhongo na Maswi ni wahanga wa pesa za kampeni ya CCM?

    Bora hii 2015 iende zake sasa maana imetuvurugia sana afya ya mijadala hapa JF
  8. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya matokeo ya uchunguzi kuhusu Escrow, Maswi hahusiki!

    Mwenzako kaja na kielelezo sasa nawe tuletee chako kuonyesha huyu bwana Maswi aliiba nini na wapi?
  9. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Kamati Ya PAC: Nani zaidi Kati ya Zitto na Kubenea?

    Kweli akutukanae kamwe hakuchagulii tusi....ati ZZK na SK!!!!????o_O;):(
  10. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Tiba Asili wamjibu Dr Kigwangala

    Na hapo ndipo mara nyingi tunapopata mkwamo, wenye mamlaka wakigwaya katika hili dharau zitakita mizizi.
  11. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Wakati mwingine huwa nawajibika kumfikiria zaidi mzungumzaji wa jambo kuliko jambo lenyewe linalozungumzwa, uzuri huwezi kumzuia mtu kuzungumza ila kwa hakika unaweza kuamua kuchagua kuyapuuza anayoyazungumza na maisha yakasonga mbele tu tena kwa speed ya kimondo.
  12. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Mtandao umekufa rasmi, kazi ni kusafisha matokeo yake.

    Well said Lole Gwakisa Wengine tunasubiria kwa hamu kuifahamu hii syndicate....natumai ipo siku kuna an individual kutoka within(kwangu mimi JK ndiye perfect) aje atuandikie kitabu ili tupate an insight toka early 1990's throughout 2015.
  13. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusitegemee maajabu kwenye baraza la Mawaziri, CCM ni ile ile na watu wake ni wale wale

    Umeifunga hii thread, tena vema kabisa. Bravo!!!!
  14. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchelewesha sana Baraza la Mawaziri

    Ndugu yangu Mchambuzi Umefanya uchambuzi mzuri ila kiasi fulani natofautiana nawe maana wakati mwingine ni vema tuwe na cost-benefit analysis. Bora mawaziri ama mawaziri bora??? Kwangu mie naona kujipa muda wa kutosha kutafakari malengo kwa kina na mahitaji ya nyakati ni jambo bora zaidi kabla...
  15. Ivonya-Ngia

    JamiiForums Tanzania Nani awatete wahusika wa mtoto wa Box?

    Kwa taratibu za JMT yeyote anayeshitakiwa kwa makosa ya mauaji ni lazima awe na wakili wake wa kumtetea mahakamani(mara nyingi huwekwa na Jamhuri lakini pia huzuiwi kuwa na wako binafsi) hivyo kwa yaliyotokea sidhani kama hao washtakiwa walikuwa katika hali ya sintofahamu na kukosa mtetezi wa...
Back
Top Bottom