Nadhani watanzania wengi wameanza kuwa na mashaka juu ya uundwaji wa serikali mpya ya awamu ya tano! Hakuna shaka juu ya utendaji wa raisi, lkn jinsi anavyounda serikali nadhani wengi watakuwa wanaguna!
Kuwepo kwa Mwakyembe, mwigulu, ambao wanatokea ktk taasisi zilizomulikwa kuwa ndio chimbuko la kuzorota uchumi kwa aawamu iliyopita kunaleta maswali kidogo! TRA ambayo ilikuwa chini ya hazina na uozo wa bandari na railway kungetosha kumfanya Magufuli asiwape nafasi mawaziri Hawa wawili!
Matokeo yake raisi amemuhukumu katibu Mkuu uchukuzi na just kuvunja board huku mmoja kati ya wajumbe wa board ya bandari kamtunukia ubunge! TRA na TPA Hawa wote wanaripoti kwa waziri moja kwa moja au kupitia board lkn sio thru katibu! Ila kama katibu anahusika basi mawaziri Hawa walitakiwa waingie kikaangoni!
Sakata la muhongo na Maswi nalo linaleta kigugumizi kingine! Iko wapi dhamira ya raisi ya kutumbua majipu, maana hivi vilikiwa vipele kwanini avilee? Hata kama hawakuwa na hatia lkn kuna sehemu hawakuwajibika ipasavyo, lkn çredibility yao imeshuka sana kwa kuwa waliishi palipozaliwa mijizi mikuu! Maswi tena kapelekwa TRA ktk kisima na roho ya nchi kiuchumi!
Nilichojifunza toka kwa maraisi Hawa wawili ambao wameishi ktk zama za upinzani mzito wa ndani na nje ya chama chao ccm ni kuwa, wote wamejitengenezea team wanayoiamini na itakayowalinda muda wote!
Tofauti kubwa ni kuwa team ya kikwete ilikuwa obvious na usalama walikuwa wanadictate ktk nominations, kwa huyu mkulu mpya, nadhani yeye mwenyewe anajua anapataje watu!
Mifumo ya uteuzi ya JK na JPM yote ina prove failure! Kuna some bias ktk uteuzi wao, kuna obvious mistakes kwa wanaoteuliwa! Hii inaashiria kuwa Yale malalamiko juu ya kumpunguzia raisi mamlaka hasa ktk uteuzi yapaswa kuwa ndio next agenda! Maraisi wanatengeneza team zao kwa utashi binafsi na kwa kukosa kulazimishwa kuwa na chombo kingine kinachomdhibiti hatari inaweza kuwa kubwa zaidi!
Mh, aombe ushauri, atumie taasisi na watu wenye uzoefu anapokuwa akifanya maamuzi magumu namna hii! Hapa wenye matumaini na operation majipu tunaanza kuwa na mashaka na dhamira ya boss!