MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
Tokea juzi nchi ya Marekani imekuwa ikitoa matamshi ya kupinga MAAMUZI imara na MADHUBUTI ya wananchi wa Nchi ya Rwanda kwa kuamua kupiga KURA ya maoni ya KUKUBALI kuwe na MABADILIKO ya KIKATIBA ili kuweza kuwezesha Rais aliyepo sasa MWANAMUME wa AFRIKA Paul Kagame aweze sasa kugombea na kuongoza nchi hiyo ya Rwanda na sasa si tena kwa miaka mitano ( 5 ) iliyozoeleka bali kwa miaka saba ( 7 ).
Kinachonisikitisha hapa ni UNAFIKI wa nchi ya MAREKANI na UDHAIFU wa KIUWOGA wa viongozi wote wa Africa na vyombo vyao husika kama AU na vinginevyo kwa kukaa kimya na kushindwa KUIKEMEA nchi ya Marekani baada ya Kiongozi wa Marekani kusema kuwa wanapinga kabisa MAAMUZI hayo ya wana Rwanda yanayomwezesha Rais Paul Kagame kugombea Urais tena na sasa kwa hiyo miaka saba ( 7 ).
Kama kweli Marekani wanataka kuhoji UHALALI wa kuongezwa kwa muda wa UONGOZI na UKOMO wake wa Rais Paul Kagame mbona hao hao Marekani wanashindwa pia kuhoji yafuatayo?
Na inakuwaje mpaka sasa hakuna hata Kiongozi mmoja wa nchi yoyote ya AFRIKA aliyemkemea huyu Kiongozi wa Marekani au hatujawasikia AU kupitia Kiongozi wao AKIMKEMEA huyu Mmarekani kwa maslahi mazima ya Waafrika ili kuwaonyesha wazungu kuwa hata sisi WAAFRIKA tuna MAAMUZI yetu na wayaheshimu?

- Kiongozi wa juu na mwenye MAAMUZI ya mwisho MALKIA Elizabeth wa Uingereza anazeeka madarakani?
- Rais Joseph Kabila anang'ang'ania MADARAKANI huko DRC lakini WAMENYAMAZA.
- Urusi Viongozi wake WANABADILISHANA tu UONGOZI kimizengwe lakini WAMENYAMAZA.
- Rais Museveni hajui hata lini atang'atuka MADARAKANI nchini Uganda lakini WAMENYAMAZA.