Tangu juzi kila sehemu na kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vimejikita kuchambua nini amekifanya katika siku mia moja katika kutengeneza mfumo mpya na kusaidia masikini wa taifa hili,
Sio vibaya
Lakini kwa maoni yangu baada ya hapo VYOMBO vya habari na kila MTU binafsi tuisaidie jamii kujitadhimini kuwa ndani ya siku mia moja tumefanya nini katka HARAKATI.za kujikwamua ktk umasikini,
Tusiishie kuangalia rais hata sisia tunawajibika kujiuliza maswali kama haya,
Pia kila MTU atumie falsafa ya wamarekani kuwa kabla unasema marekani imekufanyia nini jiulize umeifanyia nini marekani,