Recent content by itikadizetu

  1. I

    JamiiForums Tanzania Unafiki huu wa CCM utaisha lini

    teh teh teh teh
  2. I

    JamiiForums Tanzania Rama dee: Usihofie Wachaga

    rama D, grace matata, hawa wana vipaji sana tatizo nyota tu
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

    We jamaa ni mtabiri mzuri
  4. I

    JamiiForums Tanzania Hivi wangapi mmeanza kuona Diamond kaanza kupotea

    hii kazi ya uPR wa diamond anakulipa sh ngapi kwa mwezi?......nataka nikuajili kwenye kampuni yangu, kazi nzuri kijana
  5. I

    JamiiForums Tanzania Neno Moja kwa Kikundi cha Futuhi Startv

    bro utakuwa umevurugwa tu.......kwa sasa hakuna best comedias ktk nchi hii km futuhi........
  6. I

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    hedaru sec 2003-2006 kulikua na ticha jina halisi mr kisese aka mbogo alikua mbogo kweli kweli.akikushika na kosa hana msamaha,huwa anauliza kwani ukikanyaga moto unaungua hapo hapo au baadae? afu anakupa option ya kuchagua idadi ya fimbo kati ya 2 au 6, ole wako uchague 2 hutokaa chini wiki nzima
  7. I

    JamiiForums Tanzania TV Series Reviews

    mi nimezicheki Viking game of throne 0—6iko poa mno kwa wale wanaopenda adventure na fantasy movies
  8. I

    JamiiForums Tanzania Music Producers wakali kwenye bongo Fleva

    kabahatisha single mbili tu,ya ndomo na ya dyna......hatoe nyingine tuone
  9. I

    JamiiForums Tanzania Music Producers wakali kwenye bongo Fleva

    nareel hana mpinzani kwa sasa
  10. I

    JamiiForums Tanzania List ya wasanii 50 wa muziki wa Tanzania ambao "wanalazimisha fani"

    umemsahau hemed phd
  11. I

    JamiiForums Tanzania Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies?

    hahahahaha,kweli imekaa kisirisiri
  12. I

    JamiiForums Tanzania Enzi ulipokuwa boarding

    miaka ile hedaru sec,ticha mnzava, kishepo, sengasu na anko 32,
  13. I

    JamiiForums Tanzania Enzi ulipokuwa boarding

    nakumbuka ilikua 2004 nipo 4m2 hedaru sekondari,kulikua na ticha mnoko sana tulimtunga jina la mbogo.akikudaka anakuambia uchague fimbo 2 au 6 ilikua ni bora uchague sita,ukichagua 2 basi ujue utakaa kwa kalio moja wiki 2
  14. I

    JamiiForums Tanzania Adam Malima ni 'mbumbumbu?'

    We ndo failure na namba 7 yako,kombe la uhai lina timu chache safari hii kwann man u msiombe kushiriki angalau mpate mechi nyingi kidogo Mtuache na Arsenal yetu miaka 900
  15. I

    JamiiForums Tanzania Teknolojia gani ni kubwa zaidi kutokea duniani?

    Kupaa na ungo husio na injini wala mabawa ndo mwisho wa matatizo,bt mgunduzi hajulikani
Back
Top Bottom