Teknolojia gani ni kubwa zaidi kutokea duniani?

mi naona zinazo ongoza ni mbili tu
the strength of number 3 6 and 9 in day to day human activities na
the use of number 7 in controlling human life
kwangu hizo ndizo the best innovation in human history as hata mtu afanyaje awezi kutoka kwenye science ya hizo namba hapo juu

mhhhhh please clarify further,sijaelewa
 
mi naona zinazo ongoza ni mbili tu
the strength of number 3 6 and 9 in day to day human activities na
the use of number 7 in controlling human life
kwangu hizo ndizo the best innovation in human history as hata mtu afanyaje awezi kutoka kwenye science ya hizo namba hapo juu

mkuu twaomba utupe elimu hapa,this seems to be interesting.
 
nilienda interview moja nikapewa written interview. computer niliyopewa ilikua connected na mtandao. maswali yalikua magumu sana ya kujieleza lakini ya shuleni (chuo) kabisa na nishasahau. nilikua tempted ku-google ila sikufanya maana sikuwa na msimamizi, mimi mwenyewe ila nilihofu labda kuna mtu ana-monitor screen yangu somewhere.

Back to the topic nadhani computer kwa kuzigatia utengenezaji wa programs mbalimbali kama za kuongozea combat aircraft,na madege makubwa ya abiria yenye mifumo mingi sana labda kama 500 hivi inayofanya kazi kwa pamoja kitu ambacho kingehitaji kuwa na ma-copilots wengi onboard. ki ujumla computer ndo mwisho wa habari

Siku nyingine utakosa kazi kizembe, wenzako wamekupa kitendea kazi, hiyo aptitude test inakuwa timed, wanakuangalia tu! Hapo wanaangalia uwezo wako, wanakuona umekwama wakati nyenzo unayo, ningekuwa mimi ningekuacha nje!
 
most of these innovations -technology -(call it whatever you like) were successful due to internet. So bottom line internet would probably be one of the biggest innovations paving a way to a number of other things.
 
Back
Top Bottom