babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,941
- 20,231
Amepata bibi ambaye anataka wajenge familia.
kampa na mimba.kinachofuata sasa ni kupiga miti kulea mimba na mtoto akizaliwa.
muziki hapo ndio kwaheri.
Badala ya kufanya mazoezi atakaa nyumbani kumwangalia mtoto au kulea mimba.mtoto anakuja na majukumu mengine bwelele.kwa ujumla kuanzia hapa Diamond hatakuwa na makali tena km hapo mwanzo.
Muda si mrefu Kina sijui romyj na mabaunsa na yule ---- mpiga picha hawana kazi.waangalie alama za nyakati.
ZARI NDIO ANGUKO LA DIAMOND.