Tausi
Bonge la tamthiliya
Mnamkumbuka Mjuba na Siti?
Naipenda The Vampire Diaries.
Ubabe wa Niklaus unanifurahisha sana.
Wale wapenzi wa Tv series karibuni kwenye hii thread tufanye kubadilishana mawazo, mimi ntaanza kwa kuzitaja series nilizoangalia na ninazoendelea kuangalia.
1: 24
2: Prison Break
3: Breaking Bad
4: The Firm
5: Hostages
6: Last resort
7: Revolution
8: The Blacklist
9: Under the dome
10: Dominion
11: Gang Related
12: Tyrant
13: Homeland
14: Reckless
15: The divide
16: Banshee
17: Falling Skies
18: Single ladies
19: The 100
20: Strike Back
Here we go.....
hivi hiyo the 100 ni nzuri? Nlichekigi 2 episodes za mwanzo nikaona ile idea yao haifanani na ukweli
mi nimezicheki
Viking
game of throne
06iko poa mno kwa wale wanaopenda adventure na fantasy movies
mi nimezicheki
Viking
game of throne
06iko poa mno kwa wale wanaopenda adventure na fantasy movies
Game of thrones is the best ever!
mkuu ya 3 kutoka mwisho ni pirrate of the sea au inaitwa sea gods? hzo drama ulizoandika zko poaPrison Break
Jumong
The Land of Wind
City Hunter
Slave Hunter
Crime Squad
Warior Baek Dong Soo
Iljimae
Iris
A Man Called God
Painter of The Wind
Great Queen Seondeok
Faith
Legend of The Seeker
Merlin
Revolution
Arrow
Strike Back
Hostages
Person of Interest
The Blacklist
Tyrant
Under The Dome
Pirrates of the Sea
The last Ship
Vikings
mkuu ya 3 kutoka mwisho ni pirrate of the sea au inaitwa sea gods? hzo drama ulizoandika zko poa
Mimi hivi sasa za kikorea ndio zimenishika kiaina.
mkuu naomba nijuze hiyo app ya kupata drama za kikoreakuna three kingdoms... ni nzuri...na kuna app ya kushusha muvi za kikorea unaijua???
mkuu naomba nijuze hiyo app ya kupata drama za kikorea