Unafiki huu wa CCM utaisha lini

Unafiki huu wa CCM utaisha lini

lowasa%20na%20kikwete1995.jpg
 
Ila mkuu aheri smz wanatoa pension ya elf 20, je ni sawa na mpango wa TASAF III ambao wanatoa elf 8 mia tano kwa mwez?
 
Mi nawashangaa sana watanzania cjuimtumelogwa na nan Mungu wangu?nashangaa unakutana nalimtu linashabikia ccm afu ukiliangalia ni lijirani langu na nnalidai kodi afu mi mwenyewe nyumba nmeijenga kwakujiangaikia ktk shughulizangu zakiufundi ambazo nmeamua kujiatafutia baada yakukosakazi nikiombwa uzoefu baada yakutoka chuo,mi nmekichukia hikichama maana najiangaikia mwenyewe na nnauwezo wakula nyama kilacku kupitia kujiongoza nakazi yangu ambayo haina muwakilishi hata mmoja bungeni yaufundi ujenzi ambayo inapelekea wageni wachina kutupangia kias chafedha wanachotakawao watulipe nasi tumekubali kwasababu,tumekosa serikeli yakulicmamia hili afu leo nalikuta limtu limekomaa nje ya nyumbayangu linaifurahia serikali ya majambazi ambayo watotowao hatujui wamefanyakazi wapi nakujipatia miutajiri waliyonayo,Mungu mmoja nalipa notis leoleo likalale kwamagufuli na chama chao,coz c kinamfaa?
 
In short Wadaganyika wengi hawajielewi wanataka nini. Umaskini wanaona ni haki yao wana macho lakini hawaoni.
Ukiangalia lower class ndo waathirika wakubwa kuanzia elimu mbovu, miundo mbinu muhimu ka maji, na health services ndo mbaya lakini wamejitoa ufahamu.
Mpaka Leo watoto wanakalia majiwa. Ni aibu sana kwa nchi yangu pendwa
"
Majiwe"???? au Jiwe!!!!
 
hawa dawa yao ni kuwabwaga oct.25sema watanzania cjui akili zao zikoje? hawa ambiliki aic
 
Nafikiri hapo sio pa kufanya siasa kama unatakwimu zinazopingana na hizo tuweke ili tujue unabisha kwa hoja au kwa mipasho.

Wataalamu wanasema takwimu upingwa kwa tamwimu.

Vingine ni common sense tu inakupa jibu mkuu, sio kila kitu takwimu, acha kukariri, yani unahitaji takwimu kujua umeme Tanzania sio reliable au watoto wanakalia matofali..
 
Mi nawashangaa sana watanzania cjuimtumelogwa na nan Mungu wangu?nashangaa unakutana nalimtu linashabikia ccm afu ukiliangalia ni lijirani langu na nnalidai kodi afu mi mwenyewe nyumba nmeijenga kwakujiangaikia ktk shughulizangu zakiufundi ambazo nmeamua kujiatafutia baada yakukosakazi nikiombwa uzoefu baada yakutoka chuo,mi nmekichukia hikichama maana najiangaikia mwenyewe na nnauwezo wakula nyama kilacku kupitia kujiongoza nakazi yangu ambayo haina muwakilishi hata mmoja bungeni yaufundi ujenzi ambayo inapelekea wageni wachina kutupangia kias chafedha wanachotakawao watulipe nasi tumekubali kwasababu,tumekosa serikeli yakulicmamia hili afu leo nalikuta limtu limekomaa nje ya nyumbayangu linaifurahia serikali ya majambazi ambayo watotowao hatujui wamefanyakazi wapi nakujipatia miutajiri waliyonayo,Mungu mmoja nalipa notis leoleo likalale kwamagufuli na chama chao,coz c kinamfaa?

teh teh teh teh
 
Unafiki mwingine ni pale Mwenyekiti alipoanza kumwaga sifa za Pombe, wakati alikuwa ANAPIGANA kwa nguvu zake zooote asipite. UNAFIKI mkubwa! Halafu eti, "akimwona kandarasi aliyeharibu barabara kazi hana pale pale", wakati ukweli ni kuwa Kikwete mwenyewe alikuwa KIKWAZO kikubwa kwa utendaji wa Waziri. Unafiki kwa kwenda mbele!
 
Mi nawashangaa sana watanzania cjuimtumelogwa na nan Mungu wangu?nashangaa unakutana nalimtu linashabikia ccm afu ukiliangalia ni lijirani langu na nnalidai kodi afu mi mwenyewe nyumba nmeijenga kwakujiangaikia ktk shughulizangu zakiufundi ambazo nmeamua kujiatafutia baada yakukosakazi nikiombwa uzoefu baada yakutoka chuo,mi nmekichukia hikichama maana najiangaikia mwenyewe na nnauwezo wakula nyama kilacku kupitia kujiongoza nakazi yangu ambayo haina muwakilishi hata mmoja bungeni yaufundi ujenzi ambayo inapelekea wageni wachina kutupangia kias chafedha wanachotakawao watulipe nasi tumekubali kwasababu,tumekosa serikeli yakulicmamia hili afu leo nalikuta limtu limekomaa nje ya nyumbayangu linaifurahia serikali ya majambazi ambayo watotowao hatujui wamefanyakazi wapi nakujipatia miutajiri waliyonayo,Mungu mmoja nalipa notis leoleo likalale kwamagufuli na chama chao,coz c kinamfaa?

kweli mkuu mpe notis kesho kukikucha, hao ndiyo wanaochangia ccm wanapata jeuri nchi hii, wakati hawana faida kazi kujineemesha na familia zao
 
Upinzani mnawayawaya sana mfano ni wewe mleta sledi sasa ngojeni nyundo za ugoko zinakuja Oktoba,hamtaamini.,,,Kweli JPM kawashika pabaya hadi nakuoneeni huruma.
 
Kuna wakati huwa Sioni umuhimu wa kuwapigania hawa maskini,wanaboa sana

yeah, wanaboa Sana ILA tusichoke kuwaelimisha ndugu jamaa na marafiki kuhusu fisadi (CCM), wajiandikishe, wapige kura na kuzilinda fisadi asiibe. Elewa wengi hawajielewi na wengi hawaelewi taswira ya nchi wao wacheka cheka Tu wengine wamekata tamaa ya kupiga kura kisa zinaibiwa!! Ni kuzilinda mpaka kuchee..... Muhamasishe hata bibi zako na mababu zako wa vijijini, waambie wanaishi kwa shida maana fisadi kaiba hela yote wagawana na familia zao
 
Upinzani mnawayawaya sana mfano ni wewe mleta sledi sasa ngojeni nyundo za ugoko zinakuja Oktoba,hamtaamini.,,,Kweli JPM kawashika pabaya hadi nakuoneeni huruma.

nahisi wewe hauko sawa kiakili tena mawazo yako Ni mgando na Ni mmojawapo unaepata mgao wa fisadi, mtu kwenye akili timamu awezi kumchagua fisadi tena!! Haya nishawishi kidogo mazuri ya chama chenu cha majambazi ( ccm)
 
nahisi wewe hauko sawa kiakili tena mawazo yako Ni mgando na Ni mmojawapo unaepata mgao fisadi, mtu kwenye akili timamu awezi kumchagua fisadi tena. Haya nishawishi kidogo mazuri ya chama chenu cha majambazi ( ccm)

umeshindwa kujenga hoja,ukaanza kwa kunitusi,labda urejee tena bila matusi,mstaarabu hatukani hizo ni dalili za kushindwa kama sio kushindwa kwenyewe.
 
wacha kulia Lia mwaego tusi liko wapi?
 
Back
Top Bottom