Recent content by Itel

  1. Itel

    Freemasons na harakati za kidini duniani

    Plzzzzzz plzzzzzz naomba kipengele ambacho wanahusika akina da vinci ukielezee vizuri mkuuu nimepata kitu ila sijakielewa bdo kwa ufasaha hapo unaposema kuna kikundi kimeingizwa kuleta mafundisho potofu namuons da vinci anaeteka ulimwengu kwa ustad wake mkuu kwa michoro ya monalisa vs last super
  2. Itel

    Gwajima, Mbowe wanavyojipalia mkaa sakata la madawa ya kulevya kupitia media

    Haiitaji kuwajuza unaowachunguza hsdharani kuwa unawachunguza otherwise unatwanga pilipili malipo unajua mtwangaji
  3. Itel

    Gwajima, Mbowe wanavyojipalia mkaa sakata la madawa ya kulevya kupitia media

    Kuna mengi ya siri ukiacha mbali upambanaji dhidi ya madawa..........yataibuka mengi sana.........amemwaga sumu kwenye shimo la nyoka kila aina ya nyoka watajitokeza kujinasua........vita hii sio kwa kutumia mabavu badala yake uchunguzi na upelelezi wa kina unahitajika. Maana unga sasa ni kama...
  4. Itel

    Nimempa mimba mke wa mtu lakini kaniambia nisiogope

    Atakuja kukusumbua sanz pamoja na kukuaminisha usiogope kwani ikiwafika shingoni wanafunguks tu ukweli so hama kabsa sjui sasa utaenda wap maana apa yenyewe nakuona ukiwa umeshalipa kod ys miez ya mbele sasa kutafuta room pengne ni .tiani
  5. Itel

    Wimbo wa Taifa na Bandera: Cassian Chibogoyo Anajikanyaga Kanyaga na Kujiuma Uma Clouds TV!

    Yan ww ndo amna kitu ujumbe umeletwa badalah ya kujadili kilichoandikwa unaibua hoja yako nyingne ungeandaa uz kwa ajili yake bs
  6. Itel

    Angela kairuki nakukumbusha mwezi wa tatu umekaribia, vipi watumishi wote wameleta INDEX NUMBER?

    Yani hii serikali bora ukaishi maporini kama wamasai tyuu
  7. Itel

    Sina imani kama utaingia humu

    Bora nikaombe chumba kwa mkwe wangu hata kzma nimchepuko kuliko hapo
  8. Itel

    Mchungaji aambulia kichapo kanisani huko Sengerema akituhumiwa ni Freemason

    Kabla sijakoment nimefuatilia za wenzangu nikajua kweli vita ya imani ishindaniwe kiimani sio kimwili Mungu awasamehe.... Twaeni silaha zote za vita mpate kudhindana na adui.
  9. Itel

    Isabella na Harmonaiz ndani ya mahaba mazito

    Huyu mlevi wa mapenzu nae skendo zake tumezichoka kwann asitafte watt waliotulia mpaka achukue waliotumiwa mpaka Bongo ikawajua kwa kutumiwa au ndo ameanza mapenzi juz alivyokuwa na bibi yake
  10. Itel

    Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

    Kasome kokote acha kuangalia ukubwa wa jiji kwan uliambiwa ukisoma jj kubwa ndo uelewa unakuwa mkubwa. Kasome bas kwenye dunia kama unaangalia ukubwa.
  11. Itel

    Majiji ya Tanzania bado yana safari ndefu kuifikia Dar

    Nimeshindwa kukuelewa paragraph ya pili kwenye uzi wako hebu iweke sawa nikuelewe mkuu
  12. Itel

    MREJESHO: Msukuma Msomi nimepata Mke JamiiForums

    Ayse kweli yamekupanda kichwani mahaba mubashara ila sawa Hongera sana Mungu awatangulie ktk maandalizi mema ya kufunga ndoa. Note: Mirejesho mingne inayoendelea plz usilete ili tubakie kuju kuwa bdo ndoa ni tam. Asante.
  13. Itel

    Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

    Aysee kila mtu anapenda chake maana hatufanani
Back
Top Bottom