Kwanini Watanzania mpo wanafiki hivi. Kila ninayemuuliza anasema hakumpigia kura Magufuli.

Nishakusamehe. Mkuu ila umetuangusha sana kumpigia huyu jamaa. Hafai hata kwa kachumbari. Kaharibu ndoto za watu wengi sana especially vijana. Mambo ni magumu sana debe la mahindi 23,000. Kwa ujinga wake sukari imekuwa juu sana.
Inabid ianzishwe kitengo cha kuwapima akili siyo bure.
"Viongozi wengine ni laana tu''
Ohoooooo!!!
 
Mi nilimpigia kura na hata ule uchaguzi ukirudiwa tena na wagombea ni walewale ntampigia tena huyuhuyu

Nilimpigia huku nikijua ni mtendaji na hata akiwa raisi atakuwa ni mtawala tu. Ila alikuwa ni hafueni ya wengine wote alioshindana nao.

Nisingeweza kuwa mnafiki kupingana na ukweli, acha ukweli uniweke huru mie. Hata angeshindanishwa na Kikwete ningempa huyuhuyu. Unafiki kwangu ni mwiko.

umewai ona mke kamsaliti mume?
 
Hivi nyie Watanzania mbona mnakuwa wanafiki kupindukia.

Yani unakutana na mtu analia maisha magumu tena huku akitupia lawama kwa Magufuli na Serikali yake. Ila ukimuuliza, "si wewe uliye mpa kura Magufuli 2015?" Mtu anabisha. Mpaka wengine wanatoa kauli kuwa hata wangekuwa wapinzani wameweka jiwe ila wasinge mpigia kura Magufuli.

KAMA HAMKUMPA KURA ,KASHINDAJE SASA.
haiwezekani mwe mnalia maisha magumu na kumlaumu Magufuli wakati mlimchagua wenyewe. Acheni muisome number. Mjilaimu wenyewe. CCM mbele kwa mbele.
Kura ziliibwa ndugu yangu,jamaa alipata miliin 3 na rais wetu halisi alipata milion 9
 
Back
Top Bottom