Ndera JF-Expert Member Sep 11, 2013 653 548 Feb 22, 2017 #5 kwanini nisiingie, Mkuu? Naona nimeambiwa kupumzika kwa amani.
Greyson55 Senior Member Sep 10, 2015 161 110 Feb 22, 2017 #6 Pumzika kwa amani nipazuri hakuna usumbufu wala chabo
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,297 15,584 Feb 22, 2017 #9 Siingii hata ikiwa ni Beyonce ndo ananambia twende
Itel Member Feb 6, 2017 33 16 Feb 22, 2017 #10 Bora nikaombe chumba kwa mkwe wangu hata kzma nimchepuko kuliko hapo
B Prosper JF-Expert Member Dec 16, 2016 2,514 4,092 Feb 22, 2017 #11 Ukiingia humo punde tutacomment RIP