Angela kairuki nakukumbusha mwezi wa tatu umekaribia, vipi watumishi wote wameleta INDEX NUMBER?

viwanda

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
697
749
Nakumbuka ulisema mwisho mwezi wa tatu mtumishi ambae hajaleta hiyo index number atafukuzwa kazi.

Vipi waziri wangu wameleta wote hizo index number na je ni kweli ambao hawataleta watafukuzwa kazi kama ulivyosema.
 
Huyo nae alikuwa anatafuta kick tu..

Nimeanza kazi mwaka 1963,yaani nikae nakalili index number,WTF?...!!
 
Huyo nae alikuwa anatafuta kick tu..

Nimeanza kazi mwaka 1963,yaani nikae nakalili index number,WTF?...!!
 
Back
Top Bottom