Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Kinachoonekana kwa Gwajima na Mbowe sasa wamejiingiza katika vita ya kupinga vita dhidi ya madawa ya kulevya.
Wanataka kuwaaminisha watu kuwa biashara ya madawa ya kulevya haipo Tanzania. Eti wanataka tuamini kuwa hakuna tatizo la mihadarati,wanatamia media na wafuasi wao kupinga yeyote anayepiga vita mihadarati.
Mbowe kaweka pingamizi ili asipI'm we, nini tafsiri yake?
Gwajima kageuza kabisa uwanja wa mipango, inatosha kutuaminisha kuwa husiki na kadhia hii?
Wakati movie ya Wema ikiisha bila kumfutia Mbowe hatia ya kadhia ya mihadarati.
Ajizi nyumba ya njaa.