Recent content by isyesye

  1. isyesye

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kufanya biashara ya kuuza Fresh Juice kwenye sherehe mbalimbali?

    Habari wakuu! Katika harakati za kuongeza kipatao kuna wazo likanijia. Mara nyingi tumezoea kwenye sherehe kama harusi, Send-Off na sherehe kama hizo za nyakati za usiku kunakuwa na vinywaji mbalimbali vikali na laini. Hivi is it possible kwa kufanya biashara ya fresh juice katika sherehe...
  2. isyesye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanasaikolojia anahitajika

    Kwa mkoa wa mbeya naweza pata wapi mwanasaikolojia
  3. isyesye

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mafunzo ya kung fu, karate, judo

    Sehemu gan mkuu
  4. isyesye

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wamarekani walimzika Osama baharini?

    Intresting
  5. isyesye

    JamiiForums Tanzania Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

    Mimi huwa najitukana saana karibu asilimia 90 ya siku huwa nazungumza mwenyewe.ninapo tembea naongea saana peke yangu tena kwa sauti kiasi mtu akiwa jirani anaweza kusikia.mkuu hili ni tatzo ama?
  6. isyesye

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Hya madini unayapata wapi nami nikajifunze
  7. isyesye

    JamiiForums Tanzania Ofa! Ofa! Ofa!!!

    Hahahahahaha aiseeeee
  8. isyesye

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Nataka ninunue mbegu za strawberry kutoka ebay.mimi ni mgeni katika manunuzi ya mtandao bei zao nimeona ni nzuri. Asanten nawasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
  9. isyesye

    JamiiForums Tanzania TBC mjiongeze

    tunawashukuru mmetuonesha live mapokezi ya hawa wadogo zetu walokuwa wanatibiwa marekani. lakini ubora wa picha zenu unatutia aibu jamni sometimes picha haionekani vzuri mnunue camera bora zaidi.
  10. isyesye

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mafunzo ya kung fu, karate, judo

    wakuu kwa mbeya wapi naweza pata mafunzo rasmi ya vtu kma hvyo happo juu
  11. isyesye

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuchapisha magazine ikoje?

    habari wakuu ningependa kujuzwa juu ya biashara ya kuandaa na kuprint magazine ya bure kila mwezi ya matangazo tu.changamoto zake na namna gani ya kuifanya upate kampuni za kutangaza,mtaji wake na rasilimali hitajika. nawasilisha asante
  12. isyesye

    JamiiForums Tanzania Naweza kutumia antena ya startimes kwenye decoda ya strong ili nipate channel za kibongo ?

    wakuu hiv naweza tumia antena ya startimes kwenye decoda ya strong ili nipate channel za kibongo
  13. isyesye

    JamiiForums Tanzania mwenye hii movie

    wakuu kuna movie inaitwa the birth of the dragon imetoka mwaka jana mwishoni mishoni mwa mwaka mwenye nayo tafadhari maana nimeitafuta kila mahali napoweza nimeambulia patupu.
  14. isyesye

    JamiiForums Tanzania msaada

    mbeya mkuu
  15. isyesye

    JamiiForums Tanzania BILINGANYA

    asante mkuu vp gharama za hiyo mbegu na namna ya kupambana na hao konokono
Back
Top Bottom