ommy15
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 670
- 1,012
Habari wakuu. Nmefuatilia sana uzi huu kwani nilkuwanahitaji kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao. Kusema kwel uzi na jf kwa ujumla vmenisaidia sana. Kupitia akaunt yangu nmb nilijiunga kufanya online purchases ndan ya saa 24 ilkuwa tayar. Nikajiunga pay pal,ebay na alibaba.
Nilichojifunza huko.
1. Ebay gharama za vitu n nzuri sana na bidhaa ni nzuri pia. Nmeagiza saa na vitu bei nzur bado nasubiri hope wk hii vita fika. Nmepewa tracking namba na kampun inayosafirisha so naicheki kujua mzgo uko wap.
Ebay wanaurahis wa kulipia mzgo wako kwani malipo mengi yanafanyika via paypal so ni rahisi.
2. Alibaba ni mtandao mzuri sana na bidhaa nyingi ni za china na bei ni nzur sana kwani ziko chin kulingana na bei za ebay.
Huku sijanunua kitu kwani naogopa kufanya malipo kwa sababu wauzaji weng wanataka kulipwa kwa TT au tiss njia ambayo naona kumtrace muuzaji kidogo n ngumu kuliko kupitia paypal.
Sent using Jamii Forums mobile app