Recent content by issakwisssa

  1. issakwisssa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

    Mpendwa wetu alikua ni rais mnajim Dunia nzima hili jambo limetesa sana Ila Magu alielewa hii kitu imetokana vp M/mungu alitaka kuwakumbusha watu wake kwamba wamemsahau vya kutosha hivyo haraka wamrudie Ile Magu kutamka hadharani kua hili tuna mwachia m/mungu , bas hapo mungu akatupa kinga Na...
  2. issakwisssa

    JamiiForums Tanzania Kurudi kwa UDA (daladala) hii maana yake nini?

    Ukitaka taarifa sahihi za hivyo vyuma, fanya pupa zako udondoshe hata side mirror yake, kuna jamaa anakujaga na pikipiki kupiga picha tu, za chin chin ni zipo chini ya jeshi
  3. issakwisssa

    JamiiForums Tanzania Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

    Naomba kuuliza Ila jibu liwe la uhakika si ohh naisi ni hv au vile Kuna gari unakuta chuma ni current kabisa yan model ya 2019, 2020 , 2021 ila plate number ni old kabisa yan huko kwenye A"" Hivi hiyo uwa ni nn
  4. issakwisssa

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Mashariki: Biashara za kawaida zinazidi kufurika

    Hakuna jipya hapo bro. Rizki anaetoa ni M/mungu Hata kama biashara moja ikawa na watu kumi sehem moja; kila mtu atapata tu Ushahidi: boda boda Hii biashara toka kipindi inaanza hesabu ilikua 7000, na zilikua n chache Angalia mtaani kwenu sasa hivi pakoje- pamechafuka piki piki kila kona Kwa...
  5. issakwisssa

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu maarufu zaidi duniani toka dunia kuumbwa

    Hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. issakwisssa

    JamiiForums Tanzania 2019 Mercedes S Class

    Nyie achen tuu
  7. issakwisssa

    JamiiForums Tanzania 2019 Mercedes S Class

    Ah mimi na mjapan tu , kuna vitu hata mjeruman hagus
  8. issakwisssa

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa haya ni Madini gani?

    Hayo ni maini ya ng’ombe, yamekaushwa tu
  9. issakwisssa

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mtunzi mahiri wa nyimbo za kikatoliki marehemu John Stephano Mgandu

    Mtakutana nae motoni huyo
  10. issakwisssa

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wa Dar Njooni Tujadili Haya Mashambulizi Kutoka Mikoani

    Philipho wa ileje
  11. issakwisssa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

    BRT IN TANZANIA
  12. issakwisssa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

    BRT IN KENYA
  13. issakwisssa

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

    Watu kuona real Account ya ontario Mimacho iliwatoka hahahaaa[emoji1] [emoji1] Nabado Pigeni msuli mjitegemee Forex sio ya kusoma siku 5 Inaitaji miez zaid ya mii3
  14. issakwisssa

    JamiiForums Tanzania Tupia picha za Mademu wakali wa vyuo vikuu

    Ze kimbweta
Back
Top Bottom