Stowa Vicent
Member
- Mar 21, 2017
- 7
- 0
Nani ana uelewa wa hii kitu? Naomba msaada
Thanks. Je unafaham kuhusu soko lake limekaeje?Kama Ulanga vile. (Mica)
ulanga uko mwingi sana tanzania ulikuwa ukitumika kutengeneza vioo vya madirisha na magari sasa hivi hauna soko teknolojia zimebadilika za vioo vya madirisha na magariThanks. Je unafaham kuhusu soko lake limekaeje?
😣😣😣 wallah nilidhani mavi ya swalaMbona kama magimbi hivi
Ni madiniguru au tonye.sukariguru izo wala sio madini