Ubinafsi na uroho wa madaraka ndio kinachotuponza
Inatakiwa vitengo vya siasa na vingine huko juu vipunguziwe masrahi kwa sana ili watu wafilikie kuja kwenye kilimo na sekta zingine binafs kuliko kutolea macho mifumo rasmi na siasa halafu sekta muhimu kama kilimo inaonekana kama vile ni chaguo...
Upo sahihi na vitu vipo wazi kabisa na hata kama nchi tukaamua kuanza leo win- win situation ipo upande wetu
Mfano: Sukari,mafuta ya kula na ngano ni vitu ambavyo vipo imported kwa kias kikubwa sana lakin naamini tukiamua kwa mazao hayo kama nchi tunaweza kuwekeza kwa muda mfupi sisi ndio tukawa...
Nafikiri pia inaweza kuwa "nature" ili amua ili kubalance ecology ya Ulimwengu.
Vipi kama mbugani swala angepewa uwezo wa kumla simba na simba kumla swala...
Au wote ingebidi wale majani nafikiri balance ya maisha usingekuwepo na huwenda maisha yangekuwa ni taabu kubwa kuliko ilo sasa kwa...
Samahani
Kama kuna mtu amewahi muajiri mtu kwa kazi yoyote ya shamba , mifugo au kazi za ndani huwa anazingatia nini kwenye makadirio ya mshahara!!!! Je utaangalia ni vipi anaishi umlipe shilingi ili amudu maisha yake akiwa anafanya kazi yako??
Au utaangalia kwa hilo eneo atakalo kiwepo lina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.