Kuishi maisha yako ni furaha tosha.....Haijalishi unakula nini na unalala wapi.......Kufanya kile wanachokiogopa wenzako ndio unajenga ulimwengu wako....kuwa wewe na sio yule au wale....
Sema watu hawafuatilii...holotel anavuta ikifika muda ata drop...kwa kuwa teyari amekuza database..Voda, Airtel na tigo speed ipo ila inategemean ana kiasi unachochuku...
Mara ya mwisho kukutana naye....alisema mwenyewe "hajafika secondarily wala kusoma sana kama watu wanavyodhani,zaidi ya elimu yake ya Msingi...iliyo mpelekea kukaa tu katika hostel za Udsm ama mlicty Mara baada ya kutoka nymbn...alipoanza kutanua na kuongeza ujuzi akiwa hapo""""
#source >>>Fursa...
Kuwa na ushahidi wa uhakika ni jambo Jema,lakini kama unabashiri yatarudi kwako japo Kuwait unaipenda asili yako na wapendwa wako,pia kumbuka utakuwa shahidi wa jambo hilooo,,
Kwakipindi hiki,,inawezaikawa vizuri zaidi ukawekeza kwenye kilimo,,kwasababu asilimia kubwa ya kipind hiki kuna Huduma muhimu kwa wakulima,kwa mfano mbolea,pembejeo n.k,ukazisogeza sehemu husika.japo sjajua gharama kwa mfuko na huduma nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.