Mwenye CV ya Mrisho Mpoto

Mwenye CV ya Mrisho Mpoto

naomba mwenye kujua cv ya huyu jamaa au kiwango chake cha elimu maana chuoni kwetu kesho kuna philosophical forum na yeye ndio mzungumzaji mkuu so nlitaka kujua uwezo wake intellectually.!

Treat people with intellectual disabilities in an ethical manner. Reassessing philosophical views of intellectual disability.Never mind elimu yake mkuu
 
Mara ya mwisho kukutana naye....alisema mwenyewe "hajafika secondarily wala kusoma sana kama watu wanavyodhani,zaidi ya elimu yake ya Msingi...iliyo mpelekea kukaa tu katika hostel za Udsm ama mlicty Mara baada ya kutoka nymbn...alipoanza kutanua na kuongeza ujuzi akiwa hapo""""
#source >>>Fursa mbeya 2014....
 
Kuna kasoro gani "he can make me change the way i was think about him".!
SAHIHI: "HE CAN MAKE ME CHANGE THE WAY I WAS THINKNG ABOUT HIM"
 
Nyie walimu wa english mna tabu sana. Kosa dogo tu mnaanza kuwatoa watu akili, sipendi hii tabia ya dharau kama mtu kakosea na unataka kumrekebisha sawa, ila sio kumshusha thamani.
 
sasa wewe mwl wako wa tense alikuwa nani eti?
unapotumia i am,i was,we are,they are inakubidi uongeze "ing" kwenye verb.

Perfect! Tunapita haraka this is an obvious tense mistake. Nadhani naye alipitiwa maana kwa yeyote aliyesoma kiingereza hivyo huwa ni vitu vya msingi wa kiingereza. Asante
 
Nyie walimu wa english mna tabu sana. Kosa dogo tu mnaanza kuwatoa watu akili, sipendi hii tabia ya dharau kama mtu kakosea na unataka kumrekebisha sawa, ila sio kumshusha thamani.
Wanashindwa kutambua kuwa mtu unapoandika sometimes unakuwa na haraka na ile due diligency huwa haipo kuona kuwa kila sentensi imekaa vizuri in all aspects
 
Dah, mkuu mm hii sijaipenda ila utanisamehe. Kila mtu anakosea, kutojua kiingereza si aibu hata kidogo
 
sentensi yako ya kiingereza umeiangalia vzr lkn.
sioni haja ya kujudge sentence ya jamaa coz it has written to be spoken not spoken to be written. kaitendea haki function kuu ya language ambayo ni communication, mmemwelewa ndomaana munauliza.
 
Perfect! Tunapita haraka this is an obvious tense mistake. Nadhani naye alipitiwa maana kwa yeyote aliyesoma kiingereza hivyo huwa ni vitu vya msingi wa kiingereza. Asante

mistake and error are allowed in any language. even the native speakers of english do mistakes in their speaking.
 
mistake and error are allowed in any language. even the native speakers of english do mistakes in their speaking.

Lakini hii error ilikuwa very conspicuous, one ought to have noticed it. Anyway, tulipitiwa wote maana nashangaa such a vivid grammatical error went unnoticed! Siku hizi hata kutufe cha edit mods wamekitoa, ajabu! Asante sana
 
Nyie walimu wa english mna tabu sana. Kosa dogo tu mnaanza kuwatoa watu akili, sipendi hii tabia ya dharau kama mtu kakosea na unataka kumrekebisha sawa, ila sio kumshusha thamani.

Mimi napenda nikikosolewa pale ninapokosea... Hata kwa namna gani...

Mwenzetu punguza ubishi unaweza ukawa unaelekea Shimoni au motoni watu wakikukataza unavyobisha utapotea kubali yaishe
 
bora nkamsikilize kwakeli manake he can make me change the way i was think about him.!

Unasoma chuo kweli kwa jinsi ulivyoandika????? Nchi imekwisha

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
can somebody help me with that sentence? am not perfect.!

The ability to listen closely is a valuable skill that can translate every time you speak a second language is an exercise in creativity.While words in your native language might string
 
Back
Top Bottom