Angalia wasikupeleke chaka,,,kwanza wajue kutofautisha academics attachments na other attachments,sasa vyeti ushacertify unaweka kwenye other attachment ili iweje wakati kuna sehemu ya kuattach academic certificates,attach izo certified doc kwenye academic according to category kama ni chuo...